Clinton Manangwa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 214
- 223
Huyu jamaa mi cmjui tumekutana humu humu mtandaoni ila ni mtu na nusu ni mwaminifu sana mi ameniungia vifurushi kweny laini 2 tofauti yangu naya mke wangu kwa kwel hanaga shida labda aje abadilike hapo baadae Mr kiuno baba tunakuamini na kubeba dhamana zetu kwa ajili yako kumbuka hatuna masirahi na unachopata ila tunafaidi na kunufaika sana na huduma zako tofaut tofaut unatupunguzia ukali wa maisha aisee ndio maana tunakupa sifa zako maana mnyonge mnyongeni lakin sifa zako tunakupa kwa kwel.
Kabisa mkuu.