bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Police kwenyewe unalipa kwanzaUkiona unaambiwa toa pesa kwanza jua unaingizwa mjini ila ukiambiwa ghalama atalipa tutaemkamata na simu basi huyo fanyanae kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Police kwenyewe unalipa kwanzaUkiona unaambiwa toa pesa kwanza jua unaingizwa mjini ila ukiambiwa ghalama atalipa tutaemkamata na simu basi huyo fanyanae kazi
Mwambie huyoPolice kwenyewe unalipa kwanza
Mbona vpn zinagoma? Nipe njia nyingiineBia tamu!
Kuweka bando ndio njia kuu ila kama una halotel Jf unateleza kitonga kupitia Freebasic sambamba na BBC news na Swahili.Mbona vpn zinagoma? Nipe njia nyingiine
Alternative ni plan BKuweka bando ndio njia kuu
Freebasic kwa Jf na BBC tu japo kuna features zinapungua kama haha , attachments na speed kea mbali.Alternative ni plan B
Line gani mzeeVpn umefanya nitembee nchi nyingi za Ulaya nipo bongolandView attachment 2190711 Sasa nipo Wire Tun naruka nayo kibishi
GoTiLine gani mzee
mbona imegoma text unaandika retry km sina salio wkt nina sms 400 za kifurushi au mpk niwe na salio la kawaida ?Sina roho mbaya ukipata kula na wana
Voda ninayo lkn sms kila nikituma haiendi kupitia no hiyoVoda my friend kwenda 15300
Amn iyo n bure kabisa haiitaj uwe na salio, baada ya mda kadhaa watakutumia sms.mbona imegoma text unaandika retry km sina salio wkt nina sms 400 za kifurushi au mpk niwe na salio la kawaida ?
Sms inachelew kuja wait tu utaleta mrejeshoUnatuma mara ngapi maana nimefika mara 15 ila kimya?
Jaribu tena, then ikileta apply charges tick okey, then send
Hapana m nimetum kawaida tu haijaleta shida yoyoteOnly my mother we walikuletea hivi[emoji115][emoji115]
Inaitwaje mkuu hii VPN app.?Vpn umefanya nitembee nchi nyingi za Ulaya nipo bongoland?View attachment 2190711 Sasa nipo Wire Tun naruka nayo kibishi
Unaandika maneno gani kwenda hyo namba..?Voda my friend kwenda 15300