mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Bei kiasi gani?je wanakupa na vifaa vyao?Hii huduma nime request nimeambiwa kesho Jumatatu mtoa huduma anakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei kiasi gani?je wanakupa na vifaa vyao?Hii huduma nime request nimeambiwa kesho Jumatatu mtoa huduma anakuja
70K kwa Mbps 10 unlimitedBei kiasi gani?je wanakupa na vifaa vyao?
Naomba muwe mnatoa muongozo Ivo ivo kwa kinachojili kwa sababu wenye uhitaji yupo wengi sana[emoji846]Oya kanijibu ni mita 100
I hope nawe umejibiwa kwasababu kanambia umemcheki
Kesho nikiipata nitaweka feedback hapaNaomba muwe mnatoa muongozo Ivo ivo kwa kinachojili kwa sababu wenye uhitaji yupo wengi sana[emoji846]
Router majumbani bei gani??Yes nimemcheki.... Nimemuuliza utaratibu wao ukoje...
1. Kuna za office na majumbani.
2. Za ofisini haulipii router ila inabaki kuwa mali yao.
3. Za majumbani router unailipia na inakuwa mali yako.
Coverage ndo nilisahau kumuuliza..
Hiii sawasawa na mbs ngapi mkuu? Samshani kwa maswalii70K kwa Mbps 10 unlimited
1.25MBHiii sawasawa na mbs ngapi mkuu? Samshani kwa maswalii
Mbona slow sana1.25MB
Router wanauza 200k..Router majumbani bei gani??
1.25 sio slow hata kidogo.Mbona slow sana
Ok shukrani boss na ofisini unatakiwa nini na nini ili wakupe hiyo huduma? Lets nina ofisi yangu ya uwakala wa mpesa nikawabia hii ndio ofisi yangu inaruhusiwa?1.25MB
Tin NambaOk shukrani boss na ofisini unatakiwa nini na nini ili wakupe hiyo huduma? Lets nina ofisi yangu ya uwakala wa mpesa nikawabia hii ndio ofisi yangu inaruhusiwa?
Ni ofisi ndio... Hapo router wanakupa bure ila umiliki unabaki kwao..Ok shukrani boss na ofisini unatakiwa nini na nini ili wakupe hiyo huduma? Lets nina ofisi yangu ya uwakala wa mpesa nikawabia hii ndio ofisi yangu inaruhusiwa?
Ubarikiwe sanaNi ofisi ndio... Hapo router wanakupa bure ila umiliki unabaki kwao..
Mie ndani ya sku 2 tu bando kushneiUpo sahihi kabsaa Mr kiuno aliuniunga lakin baadaye ilipotea tu nikamchek akaniambia mambo magumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kumbe wanaweka kwa maeneo aisee duuuhTin Namba
Leseni
Na namba ya nida
Kwanini unasema hivyo?Kumbe wanaweka kwa maeneo aisee duuuh
Nimepiga hiyo namba hapo ndio nikapewa maelekezo hayo eneo nilipo bado 5g hakuna anadaiKwanini unasema hivyo?
Upo mkoani?Nimepiga hiyo namba hapo ndio nikapewa maelekezo hayo eneo nilipo bado 5g hakuna anadai
Dar es salaam KigamboniUpo mkoani?