Watumiaji wa tigo post paid naomba kujua namna ya kulipia nilishajiunga
Kama unatumia app ya tigopesa ni rahisi. Chagua lipa kwa tigopesa, then kwenye search pale andika postpaid, itakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watumiaji wa tigo post paid naomba kujua namna ya kulipia nilishajiunga
Achana naye huyo hana maana mpaka hapo
Ni bora ukachukua Router ya Supakasi ukalipia 115K
Achana nayo tumia sme ya airtelWatumiaji wa tigo post paid naomba kujua namna ya kulipia nilishajiunga
Hii ingerudi tu😁😁 skuizi ni kulia na kusaga menoHii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.
Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.
-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.
Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.
-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,
Airtel Sme, Tigo postpaid ndio vifurushi nafuu kwa sasa mkuu.Hii ingerudi tu😁😁 skuizi ni kulia na kusaga meno
Nimejiunga tigo GB 25 dakika 1000 kwa elfu 30 kwa mweziAchana nayo tumia sme ya airtel
Uku airtel 30k gb 35 na dakika 1000Nimejiunga tigo GB 25 dakika 1000 kwa elfu 30 kwa mwezi
Vipi sme ya Airtel ikoje
Airtel Sme, Tigo postpaid ndio vifurushi nafuu kwa sasa mkuu.
Final wazee nimeikamata Sasa dah[emoji1784]View attachment 2736809
Speed test na package mkuuFinal wazee nimeikamata Sasa dah[emoji1784]View attachment 2736809
Naipatajee hii mkuu?????Uku airtel 30k gb 35 na dakika 1000
Naipatajee hii mkuu?????
Yeah Ina betri la pembeniSpeed test na package mkuu
Uku airtel 30k gb 35 na dakika 1000
Tupe mrejesho speed yake ipoje?Final wazee nimeikamata Sasa dah[emoji1784]View attachment 2736809
Speed nzuri sana mkuu usiku wa Leo nimeshusha kama gb 200 asubuh zote zimemaliza asee[emoji2]Tupe mrejesho speed yake ipoje?
Kwa mwezi ulipiaje mkuuSpeed nzuri sana mkuu usiku wa Leo nimeshusha kama gb 200 asubuh zote zimemaliza asee[emoji2]
Hongera Mkuu alikuletea ni yule dada au ni mtu mwingine?Speed nzuri sana mkuu usiku wa Leo nimeshusha kama gb 200 asubuh zote zimemaliza asee[emoji2]
Hapana mtu mwingne ila yule dada pia alinichekHongera Mkuu alikuletea ni yule dada au ni mtu mwingine?