Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hivi games za ps ukishadownload inatakiwa ufanye option ipi ili iweze kucheza?Hii nikipata napiga chini kwanza PS halafu naanza kufownload games upya kama majaribio.
Unlimited, Unlimited kweli au kuna kipimo. [emoji23]