Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu naomba tips za kufanya hii router ya Airtel unlimited inipe Kasi nzuri, ni siku ya pili sasa tangu niinunue pale mlimani City kifurushi Cha 10Mbps.
Iko slow sana mfano YouTube inafunguka kwa shida sana tena low quality 144k na hapo taa ya 4G inawaka na ya kijani pia, isipokuwa tu ya 5G..
Huku upande mwingine, kwenye line ya kawaida ya Airtel kwenye simu Iko vizuri tu sana.
Nashidwa kuelewa shida nini same internet provider lakini Kasi changamoto kwenye hiyo Router haifiki hata 300kb/s
Zipo Router ambazo zinakuwa na tatizo binafsi ambalo halihusishi mtandao

Router ya rafiki yangu ilikuwa na tatizo hilo tulichofanya ni kuwasiliana na team leader aliyetuletea.

Akatuachia Router nyingine wakati ile yenye tatizo akienda nayo ofisini kwa ajili ya kuifanyia diagnosis.

Baada ya siku kadhaa alituletea ikiwa iko fresh tukamrudishia ile Router yake.

So nakushauri utumie njia hiyo pia
 
Zipo Router ambazo zinakuwa na tatizo binafsi ambalo halihusishi mtandao

Router ya rafiki yangu ilikuwa na tatizo hilo tulicuofanya ni kuwasiliana na team leader aloyetuletea.

Akatuachia Router nyingine wakati ile akienda nayo ofisini kwa ajili ya kuifanyia diagnosis.

Baada ya siku kadhaa alituletea ikiwa iko fresh tukamrudishia ile Router yake.

So nakushauri utumie njia hiyo pia
Shukrani mkuu ngoja nifanye hivyo
 
Shukrani mkuu ngoja nifanye hivyo
Lakini umejaribu kuangalia signal strength kwenye control panel jinsi zinavyo display?

Mfano mimi hapa nimetoka na Router somewhere na hizi ndio signal ambazo zinaonekana kwenye control panel

Sasa vipi upande wako hizo bars za mnara zinaonekana vipi?

Screenshot_20240127-215907.png

Note: kwa Router yangu hata signal bars zikiwa na vijiwe viwili bado sipati buffering wala mkwamo wa speed.
 
Lakini umejaribu kuangalia signal strength kwenye control panel jinsi zinavyo display?

Mfano mimi hapa nimetoka na Router somewhere na hizi ndio signal ambazo zinaonekana kwenye control panel

Sasa vipi upande wako hizo bars za mnara zinaonekana vipi?

View attachment 2885008

Note: kwa Router yangu hata signal bars zikiwa na vijiwe viwili bado sipati buffering wala mkwamo wa speed.
Muda wote bar ziko full mkuu
 
Habari waku... Na shida na mtu au wakala wa Airtel ambaye anaweza kuniunganisha na vifurushi vya SME au mtaani wanaita vifurushi vya ofisi
 
Airtel Zanzibar ikifika jion tu..ni bure kabisa..
Hakuna unachoweza fanya speed ya kobe..kuanzia saa sita usiku mpaka saa kumi na moja jion mambo Murua...
Kwa mimi nishaanza kuiona ni takataka..mana nashindwa fanya kazi zangu na muda nahitaji ni jion.
 
Nani kakuambia Tanzania haifiki 500mbps? Unalipia kutokana na speed unayotaka mwenyewe, Tigo yao ni 1Gbps na Vodacom walianza na 400mbps nafkiri washa upgrade Hadi 1Gbps Sasa hivi, Airtel backbone yao ndio imezinduliwa juzi juzi ni 180Tbps hivyo vi speed vya 500mbps ni kama vitone tu kwenye bahari.
na kwambia tenaaa 5g bongo hakn boss miaka 5 nyuma before 5g kuanza kupigiwa kelele na Western countries NASA walikuwa wanagonga 900mb to 1gb mb na 4g ndo walikuwa wanatumia 5g ilipoingia mzigo ukawa upgrade trust mee niambie bongo nani anatumia 1gb hata office kubwa kubwa wanatumia 500 to 400 mbps mostly tena hapo wanatumia fiber so yeah they call 5g ila hata 4g yenyewe haijawa covered haswa the real 4g ambayo wenzetu kama South korea walikuwa wanatumia. kamchek watu wa tech youtube mfano nimeweka mkbhd uoneee 5g akitest insoma ngap halaf uniambie nani bongo anatumia 5g
 
We ni yule mzee wa story za Vijiweni, ipo Gigabit LTE ila haimaanishi unapata exactly hio speed unless iwe ni kutest mitambo na upo mwenyewe mnara mzima, 4G Haina capacity.

5G ina capacity hata ya kuhudumia uwanja mzima wa mpira ndio maana Kila mTandao unaotoa 5G unatoa na Unlimited internet.

Na kukuhakikishia hio ni 5G angalia ping wanazopost wadau juu as low as 13ms nioneshe Dunia Gani ulioishi wewe 4G ikawa na hio ping.
 
nondo juu ya nondo
 
Wakuu naomba tips za kufanya hii router ya Airtel unlimited inipe Kasi nzuri, ni siku ya pili sasa tangu niinunue pale mlimani City kifurushi Cha 10Mbps.
Iko slow sana mfano YouTube inafunguka kwa shida sana tena low quality 144k na hapo taa ya 4G inawaka na ya kijani pia, isipokuwa tu ya 5G..
Huku upande mwingine, kwenye line ya kawaida ya Airtel kwenye simu Iko vizuri tu sana.
Nashidwa kuelewa shida nini same internet provider lakini Kasi changamoto kwenye hiyo Router haifiki hata 300kb/s
Wakuu nilileta issue yangu mnisaidie [emoji1483][emoji1483][emoji1483]
Nilifuatilia lakini sikupata a good solution kutoka kwa Airtel...
Lakini katika experience yangu ya kutumia hii device, ndio nikagundua Huwa inakuwa slow pale ninapokuwa nyumbani.
Na Most of the time nikiwa home huwa natumia Bluetooth speaker.
Siku hizi mbili niliacha kuwasha Bluetooth speaker, WiFi strength imekuwa nzuri sana muda wote.
Ndio kufuatilia nikajua WiFi na Bluetooth zote zinatumia 2.4GHz kwenye transmission ndio maana inakuwa slow.
SOLUTION
Ni kuswitch WiFi kwenda 5GHz kama inashindikana( device zako hazisapoti 5GHz) jaribu kubadilisha channel 2.4 GHz manually mpaka utakapopata good signal...
*Hiyo ndio observation yangu Moja ya sababu WiFi inakuwa slow.
 
Back
Top Bottom