Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Shukrani sanaZipo sema za gharama hiyo issue ni speed maana nyingi ni 3G, za 4G ni kuanzia 30 na kuendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sanaZipo sema za gharama hiyo issue ni speed maana nyingi ni 3G, za 4G ni kuanzia 30 na kuendelea
Naunga mkono hojaZipo Router ambazo zinakuwa na tatizo binafsi ambalo halihusishi mtandao
Router ya rafiki yangu ilikuwa na tatizo hilo tulichofanya ni kuwasiliana na team leader aliyetuletea.
Akatuachia Router nyingine wakati ile yenye tatizo akienda nayo ofisini kwa ajili ya kuifanyia diagnosis.
Baada ya siku kadhaa alituletea ikiwa iko fresh tukamrudishia ile Router yake.
So nakushauri utumie njia hiyo pia
Toka juzi usiku network inacheza sana......
nondo juu ya nondo
Ninayo ya 3g n 4g lain zote nicheki kwa namba 0721074991Hivi siku hizo modem zipo mitaani kweli? Kuna mtu alikuwa anahitaji ya mitandao yote.
Pesa mfuko wa shati 10,000
Click na hapo show more infoNimedoea Starlink hapa NairobiView attachment 2895140
Mkuu hizo app unatumia kwenye smart tv au android smart tv?View attachment 2893292
Nilichukua huu mzigo wa 10Mbps uko poa sana nilikuwa nahofia huku mbezi ndani ndani itazingua , 5G haitopanda ndio lakini sidhani kama utahitaji 5G kwa 10 Mbps sababu hii 4G+ muda wote speed inakwamia 12Mbps na mimi huwa muda wote na stream up to 1440p bila shida
Mfano wa streams nazotumia
Dstv stream - ipo fresh
Azam max - Ipo fresh
Netflix - fresh kabisa
Amazon prime - Fresh
Tubi - Fresh
Kodi fresh
Na streaming services nyingine kama Plex , Pluto tv , crackle , Xumo play etc
Nia ilikuwa kuachana na Ma dish kwa sasa kukomaa online tu
Kama unalipia inawezekana.Mkuu hizo app unatumia kwenye smart tv au android smart tv?
Ukiachana na zile built in app za kwenye LG smart tv, nawezaje kutumia app zenye mpira kwenye LG ambayo sio android.
Chief kwa maana hiyo siwezi kuepuka decodersKama unalipia inawezekana.
Unaweza ukanunua TV box kuipa tv Yako uwezo wa Android.Chief kwa maana hiyo siwezi kuepuka decoders
Adroid Tv Box ipi ni nzuri mkuu natumia Hisence Smart tv.Unaweza ukanunua TV box kuipa tv Yako uwezo wa Android.
Za Bei rahisi Onn tv, fire tv stick, Google TV chromecast na Xiaomi mi TV stick. Zote hizi unapata laki ama chini ya hapo.Adroid Tv Box ipi ni nzuri mkuu natumia Hisence Smart tv.
Asante sana Chief, ngoja nizitafute zinakopatikana.Za Bei rahisi Onn tv, fire tv stick, Google TV chromecast na Xiaomi mi TV stick. Zote hizi unapata laki ama chini ya hapo.
Kama budget inaruhusu zaidi ya hapo Kuna fire tv cube, Mi box S, Nvidia shield etc
Hizo stick nzuri sana kama huna matumizi mengi, weka Nyuma ya TV na usb ndogo Unachomeka kwenye stick na tv, weka on HDMI CEC kwenye box na tv umemaliza kila kitu. Ukiwa Sha TV na box linawaka na remote ya TV hio hio ita control tv box.
Hizi natakiwa kuwa na budget kuanzia kiasi gani Chief.Kama budget inaruhusu zaidi ya hapo Kuna fire tv cube, Mi box S, Nvidia shield etc
Mi box S si Bei ndefu sana around 150,000 hivi sometime AliExpress Hadi 130,000Hizi natakiwa kuwa na budget kuanzia kiasi gani Chief.
Kwa Xiaomi Cheki AliExpress zipo za Kutosha, hizo zinazotoka Us kama Fire stick, Onn na Chromecast yenye google tv ni mpaka uagizishie Us ama uende Mall za Dar, ,sema wasio na Tamaa wachache sana.Asante sana Chief, ngoja nizitafute zinakopatikana.
Kama kuna mtu anaziuza au anafahamu zinapopatikana tafadhali tuwasiliane.