Vifurushi vya simu+bundle ni wizi na hakuna mtetezi wa kuliongelea

Vifurushi vya simu+bundle ni wizi na hakuna mtetezi wa kuliongelea

maujanja supplier

Senior Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
103
Reaction score
115
Nimemaliza kuweka kifurushi, nikaunga data, with in a sec napokea sms.

Umetumia takribani 75% ya kifurushi chako. Tafadhali piga *102# kuangalia salio la kifurushi chako. Asante!

Je tutafika!
Naombeni namba za Elon pls
 
Nakuelewa lakini haiwezi kuwa baada ya sekunde unatumiwa msg ya kutumia takribani asilimia 75 ya kifurushi chako.Uliweka bando la shillingi ngapi?
Kuna unyonyaji mkubwa lakini tuwe wakweli.
Si Mnaona Majirani Kenya wameamua.... Sisi wacha tuwe wababe wa keyboard tu
 
Airtel ukiwa na kifurushi cha Wiki na kike cha masaa 24, cha ajabu kwenye matumizi kinaanza kutumika kile cha wiki, afu hiki cha 24 hrs wanakiacha, ili muda uishe tu kisitumike...

Airtel Mungu anawaona!!!!!!
Airtel ni Mali ya Serikali.... Kwahyo Unamaanisha Serikali inakuibia ndugu mwananchi??
 
Sintakaa nisahau Ofa feki hiii...4GB kufungua Pinterest kwa Dakika zisizofika 20, 4GB kwishaa mamayo Eateli.
1679335813456.jpg
 
Kuna siku nilinunua kifurushi kinachozidi sh 1000 yaani cha 1500 ambacho ni mb 700 lengo nipewe bonus ya 500 mb.Hiyo mb 500 naona walinibanua nikapewa 700 wahuni sana hawa airtel
 
Back
Top Bottom