Vifurushi vya simu+bundle ni wizi na hakuna mtetezi wa kuliongelea

Vifurushi vya simu+bundle ni wizi na hakuna mtetezi wa kuliongelea

Mkuu unlimited inaishaje sasa?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Huenda ww unaweka hata la jero ila ukifika huku utakavyo jitunisha Sasa 🤔
Ni Kama unaweka bando la m1 kwa mwezi '
Ujinga mmoja huu Ni mtu akiweza kununua kilo ya unga kwa Sh.Elfu 5 ataona it's okay kila mtu Anunue kwa Bei hiyo' Ni majigambo ya kishenzi tu Kama huwezi kujali wengne wanaumia vipi!!
 
Hapa na enjoy free internet kutoka eatell kupitia VPN....ni mwendo wa ku hack tu
 
Hivi

wew Andazi Ulisha kuwa na postpaid ww ndio wengne waibiwe bando?Nani hatumii hiyo post paid? Unajiona mjanja kisa ww bando lako Ni postpaid? So kila mahali unatumie hiyo..
Naona unajigamba tu huna lolote

Natumia Post paid ya Tigo ila hakuna kitu bando linatembea hatari.
 
Back
Top Bottom