Vifurushi vya simu+bundle ni wizi na hakuna mtetezi wa kuliongelea

Ulichoandika ni sahihi kabisa kuna wizi mkubwa wa bando unaendelea chinichini kwanza wanakupa bando kidogo na hicho kidogo bado wakiibe

IIa kuna washauri wa hovyo Mara weka 3g ondoa 4g kwa hiyo Alie leta mada ajui Yote Hayo? Mijitu mingne ni mishamba sana badala ya kupinga wizi wa bando unao endelea wao wanajidai Ni Ma IT wa ushauri!! Tena ushauri fake!!
Nimemaliza kuweka kifurushi, nikaunga data, with in a sec napokea sms.

Umetumia takribani 75% ya kifurushi chako. Tafadhali piga *102# kuangalia salio la kifurushi chako. Asante!

Je tutafika!
Naombeni namba za Elon pls
 
Ulicho Andika ni sahihi kabisa kuna wizi mkubwa wa bando unaendelea chinichini kwanza wanakupa bando kidogo na hicho kidogo bado wakiibe
IIa kuna washauri wa hovyo Mara weka 3g ondoa 4g kwa hiyo Alie leta mada ajui Yote Hayo? Mijitu mingne ni mishamba sana badala ya kupinga wizi wa bando unao endelea wao wanajidai Ni Ma IT wa ushauri!! Tena ushauri fake!!
Mwisho wa siku tutafute hela bando haliishi [emoji3]
 
Nimemaliza kuweka kifurushi, nikaunga data, with in a sec napokea sms.

Umetumia takribani 75% ya kifurushi chako. Tafadhali piga *102# kuangalia salio la kifurushi chako. Asante!

Je tutafika!
Naombeni namba za Elon pls
Kuna yule wakili mbobezi alianzisha haya mambo kilichoboreshws ni msisha yake.

Kaanzisha whatsapp groups kibao na yupo kimya
 
Daahhh kwakwelii ni wizii kabisaa mie nilijiunga nikazima data nikaja kuwasha baada ya masaa mawili naambiwa ndugu mteja umetumia 100% na data ipo off
 
Nimemaliza kuweka kifurushi, nikaunga data, with in a sec napokea sms.

Umetumia takribani 75% ya kifurushi chako. Tafadhali piga *102# kuangalia salio la kifurushi chako. Asante!

Je tutafika!
Naombeni namba za Elon pls
Unataka nape ndio awe mtetezi wako haitoweza kutokea kama Elon Tu wanamfanyia figisu na ndio bilionea wa kwanza duniani vipi ww mmatumbi mla ugali na sukari
 
Back
Top Bottom