maujanja supplier
Senior Member
- Aug 8, 2012
- 103
- 115
In a sec?? Mmmhhh! Hapana aisee atume ushahidi kama sms anazoNakuelewa lakini haiwezi kuwa baada ya sekunde unatumiwa msg ya kutumia takribani asilimia 75 ya kifurushi chako.Uliweka bando la shillingi ngapi?
Kuna unyonyaji mkubwa lakini tuwe wakweli.
Mkuu, nchi zinazotuzunguka Hali s kama ya kwetu, uku n noma aisee, hata yule Elon s umeona walichomfanyiaIn a sec?? Mmmhhh! Hapana aisee atume ushahidi kama sms anazo
Si Mnaona Majirani Kenya wameamua.... Sisi wacha tuwe wababe wa keyboard tuNakuelewa lakini haiwezi kuwa baada ya sekunde unatumiwa msg ya kutumia takribani asilimia 75 ya kifurushi chako.Uliweka bando la shillingi ngapi?
Kuna unyonyaji mkubwa lakini tuwe wakweli.
Airtel ni Mali ya Serikali.... Kwahyo Unamaanisha Serikali inakuibia ndugu mwananchi??Airtel ukiwa na kifurushi cha Wiki na kike cha masaa 24, cha ajabu kwenye matumizi kinaanza kutumika kile cha wiki, afu hiki cha 24 hrs wanakiacha, ili muda uishe tu kisitumike...
Airtel Mungu anawaona!!!!!!
Ndugu Mwananchi mwenzangu, Serikali IMENIIBIA...Airtel ni Mali ya Serikali.... Kwahyo Unamaanisha Serikali inakuibia ndugu mwananchi??
Nimemaliza kuweka kifurushi nikaunga bando.
Huo mtandao Wana haki ya kufanya ivo