Vifurushi vya tigo Internet, ndio vinaisha kwa kasi kiasi hiki au ni wizi?

Tigo ni hatareeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilichonote mimi, bando za reja reja zinaisha mapema sana. Na ni hasara sana ukifanya calculation. Bora hata post paid.

Kuna siku tigo nimeunga gb 17 ktk router. Watu wawili, hazijamaliza masaa 72. Ule mshtuko na hasira sikumbuki hata kirouter nilikitupa wapi🀣
 
Hawa jamaa wanatuibia sana TCRA iwachunguze.
 
Kifupi: Voda na Halotel cheza nao mbali kama uchumi ni wa kuungaunga.
Mbona mimi ndo nazitumia hizo Voda na halotel na nainjoy sana. Bando unatumia hata kama imebaki 4MB unasoma Jf vizur tu
 
wengine wananunua cocha wwngine tunaingia mtandaoni bure😭😭😭

Hii Dunia ni msitu mnene

Tumia Tigo hio hio unapata free data ukiwa na hii vpn

mitandao mingine kaeni kwa kutulia
 
Kuna jambo haliko sawa ila naamini Sana Mh,Jerry slaa atafanya jambo kuna wizi wala hilo haliitaji maelezo ni vile tu wanasheria wa tz hawajaona hii fulsa ya kushtaki haya makapuni kwa kuibia watu.Mtu umezima data unakuja kuangalia salio asubuhi unakuta hata mb100 hazipo ina maana wachawi walikuja kutumia simu yangh usiku dah...
 
Ukishangaa ya Tigo jaribu Halotel ndio balaa mpaka nimeamua kusitisha kujiunga virushi vyao
 
Kama unawalalamikia hivyo tigo wakati wengine tumetoka tulikotoka tukaona huku ndo kuna unafuu, basi tulia hukohuko usithubutu kuhamia voda, utavunja sim kwa hasira.
Vodacom umewasingizia copral, jitathmini.
 
Ukitaka kuenjoy bando za Voda na Tigo, Voda tumia Supakas na Tigo lipia bando kwa Post Paid, ila hizi bando za buku mbili mbili au tano kwa mwezi utatumia hata laki 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…