Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?

Hii biashara haramu ina watetezi wengi sana! Tafuta kazi halali ufanye acha kuuza mbunye!

Tafuta kazi ya halali MUNGU atakubaliki! Hata kama utapata kidogo lakini kina baraka za Mola!
Vipi kama hawaamini Mungu??
Mbona biashara za pombe, sigara na kitimoto zinaruhusiwa??
 
Hukumu ya kahaba kwa Tanzania ikoje kisheria?
 
Anawakamata kwani malaya wana kosa gani? Wanavunja sheria ipi ya nchi?
 
Prostitution is a social problem but not a legal problem. Awe makini ni operation za namna hiyo. Nifupa mgumu Sana sawa na kuzuia mafuriko kwa mikono. Makanisa,misikiti, ustawi wa jamii, makundi Rika, ndugu na jamaa, ukoo, wazazi wataliweza vizuri zaidi hili tatizo
 
Ukiona hivyo huyu hana anachokiweza kwenye uongozi aliopewa sasa ili angalau aonekane anafanya kazi ndipo hapo anapofanya haya madudu anayoyafanya kinyume na hapo atakosa cha kufanya kwenye uongozi aliopewa.
 
Hivi wanajuaje tofauti kati ya mtu alieenda hapo lodge na kahaba na yule alieenda na mpenzi wake kwenda kujipumzisha? Au hao wote wanakamatwa kwa kosa la "kujiuza?"

Unathibitisha vipi mahakamani kwamba huyu mtu tumemkamata gesti akiwa anajiuza? Umejuaje anajiuza?
 
Haya sasa
 

Attachments

  • Screenshot_20240615-195630_Instagram.jpg
    469.6 KB · Views: 5
Huyu ni mfano wa utaahira wa kuchanganya dini na siasa, yaani hapo limejiona ndio liislam safi eti.., akina Slaa na Makonda wanatafua migogoro lenyewe linaharibu uchumi na kuingilia faragha za watu..,

Viongozi wa kiislam ni laana kwenye nchi hii
Wengi tunamlaumu lakini si kwa sababu ya Uislamu wake si vyema kuingiza udini kwenye mada zisizohusu udini.
 
Anafanya kazi nzuri ila kwa huo mji wenu wa kishetani hawezi kuwa supported. Naona mwamba soon atapelekwa ileje akatulie huko maana mji ushamshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…