Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Nina ufaulu Wa masomo yafuatayo
Physics D
Chemistry B
Biology C
Geography D
English D
Kiswahili D
History D
Civics F
B/mathematics F

Kwa ufaulu huyo naweza soma kozi gani za afya
 
Nina dvn 1.ya pts 8 ,chem,A,Bios A,phys,B,,math D, nahtaj nahitaj kusoma CO lakn uwezo hom hauruhusu ,,nahitaj mtu wa kunifadhiri ,tafadhali ,,no 0621517440
 
Nina dvn 1.ya pts 8 ,chem,A,Bios A,phys,B,,math D, nahtaj nahitaj kusoma CO lakn uwezo hom hauruhusu ,,nahitaj mtu wa kunifadhiri ,tafadhali ,,no 062151
 
Jaman mm nahtaj tu mtu wa kuni sponsor college nikasome CO NINA dvn 1 ya point 8 ,,ikiwa CHEM ,A ,,,BIOS ,A,,PHYS ,B ,,,B/MATHS D ,,,Lakn skujaza chuo katk selfom angu 0621517440
 
Naomba ushauri wenu viongozi
Nina rafiki angu mwalimu wa cheti anataka kwenda kusoma ila sio advance Je unashauri asomee nini? Karibu viongozi
 
Samahani wakuu naomba kujua vyuo vinavyotoa diploma ya elimu ya awali vya serikali n Vipi naomba mnisaidie
 
Nina mdogo wangu ana ufaulu ufuatao;
O'level
Physics- D
Chem- D
Biology-C
English- C
Maths- F

Advance
Georg- 'B'
Chem- C
Bios- 'B'
BAM- F

Je kwe ufaulu huo anaweza soma diploma ya Optometry au Clinical Medicine hata chuo cha private?
 
Nina mdogo wangu ana ufaulu ufuatao;
O'level
Physics- D
Chem- D
Biology-C
English- C
Maths- F

Advance
Georg- 'B'
Chem- C
Bios- 'B'
BAM- F

Je kwe ufaulu huo anaweza soma diploma ya Optometry au Clinical Medicine hata chuo cha private?
Kulingana za guide book ya nacte 2021/2022 anasoma maana b/math na english ni added advantages
 
Nina mdogo wangu ana ufaulu ufuatao;
O'level
Physics- D
Chem- D
Biology-C
English- C
Maths- F

Advance
Georg- 'B'
Chem- C
Bios- 'B'
BAM- F

Je kwe ufaulu huo anaweza soma diploma ya Optometry au Clinical Medicine hata chuo cha private?
alafu icho cheti cha form six mbona kizuri mkuu Bios na chem kupata B/C sio mchezo hongera mkuu ila kwa level ya diploma chet cha form six uwa akitumiki
 
Kwa matokeo haya,naweza kupata chuo kusoma clinical officer?
KISWAHILI-D
GEOG-D
HISTORY-D
B/MATHS-D
CIVICS-C
CHEMISTRY-D
PHYSICS-C
BIOLOGY-C
ENGLISH-C
 
HABAR ZA SAIZ....... nlikua nauliza vigezo vya kujiunga na diploma ya ualimu wa msingi kwa waliomaliza certificate
 
Mimi nimemaliza form four nimepata
C masomo yote ya art geo eng keep kswhl civ etc ILa math ndio nimepata f
Na ninapendelea mambo ya IT
NAOMBENI mawazo yenu hapo naweza pata diploma au course GAni nzuri kwa sasa
 
Masaada wa ushauli naombaa mimi nina division 4 ya 32 nina c 1 na d1 sitaki kuludia form four nahitaji chuo kisicho cha ufundi nifanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…