ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
sifa za division four zilishafutwa tangu enzi za Kawambwa. acha kumdanganya. kwanza yy hataki form 4, anataka form 6 ndio maana akasema diploma.kwa aliyemaliza kidato cha nne anatakiwa we na angalau div 4 ya 26 na kuendelea
Hakuna astashahada ya ualimu wote wanaanzia diploma ambayo ni three yrs .kwa higher diploma ndo mnahiita kutokea form six sifa wote wanafanana lazima olevel upate div 3 Na kuendelea .kwa higher diploma ambayo now wanatoa kwa math Na science basi unatakiwa o levl three Na advance 3.0
Kweli kakasifa za division four zilishafutwa tangu enzi za Kawambwa. acha kumdanganya. kwanza yy hataki form 4, anataka form 6 ndio maana akasema diploma.
Dada yangu naomba uwe mpole tu kwasasa. Mwezi wa 11 mwaka jana, wizara ya elimu ilitoa waraka namba 5, ambao ni "muongazo wa utekelezaji programu za mafunzo ya ualimu", ila bahati mbaya kwa kipindi kile haikutoa sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu, badala yake ikasema wizara itatoa maelekezo ya sifa za kujiunga na ualimu.Kweli kaka
sio kweli kuna chuo cha madini dodoma kinatoa PETROLEUM ENGINEERINGHakuna hyo course kwa level ya diploma
na hata ingekuwepo,nakushauri usome electrical engineering then hzo course za gas uje usome kwa level za juu
sometimes ni bahati ya mtu,lakin sikuhiz wanaojaza chuo direct wameongezeka so competition imekuwa kubwa bila ya div 1 inakuwa ngumuWakuu naomba mnisaidie ili swali..eti ni kwamba wale wanaochaguliwa na serikali kwenda vyuo vya ufundi wanatakiwa wamepata mwisho division one?
Haya ni matokeo ya 2013 au 2014 mkuu...?Sorry matokeo yangu ya kidsto cha 4 ni
Chem C
Bios C
Geo C
Phy E
Maths E
Naweza apply corse gani kwa ngazi ya diploma?
Hiyo corz ya hydrology&meteorology inahusu nin?!uwe na ufahuru wa C moja na D mbili kati ya masomo haya: Physics, chemistry, biology, math na geography. ila muhimu zaidi usiwe na F ya math.
course zipo tano: hydrology and meteorology, hydrogeology and water well drilling, water lab technology, irrigation eng, na water supply and sanitation eng.
izo mbili za engineering (irrigation na water supply) zinataka ufahuru wa masomo ya Phy, chem, math, na Geog. physics muhimu.
iyo ya water lab, chem, bio, geog,
hydrology na hydrogeology, geog, chem, math
application zote zinafanyika NACTE
sorry nimeandika vibaya kama hujaelewa uliza hapa hapa
2014Haya ni matokeo ya 2013 au 2014 mkuu...?
Nasikia wanazingua sana wanataka D ya math2014
Daaah..asante mkuu2014
Ooh ndugu hiv hiyo course ya water lab ninaweza kuisoma kwel kwa results yang, mana nina PHY D, chemistry d, geo c, math F, pia nahitaji mawasiliano rahic ya chuo mana no waloiweka pale ina ugumu kidgo, nisaidie tadadharuwe na ufahuru wa C moja na D mbili kati ya masomo haya: Physics, chemistry, biology, math na geography. ila muhimu zaidi usiwe na F ya math.
course zipo tano: hydrology and meteorology, hydrogeology and water well drilling, water lab technology, irrigation eng, na water supply and sanitation eng.
izo mbili za engineering (irrigation na water supply) zinataka ufahuru wa masomo ya Phy, chem, math, na Geog. physics muhimu.
iyo ya water lab, chem, bio, geog,
hydrology na hydrogeology, geog, chem, math
application zote zinafanyika NACTE
sorry nimeandika vibaya kama hujaelewa uliza hapa hapa