Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Nimehangaika tangu wiki lililopita usiku na mchana masaa 24 siku saba za week lakini sijaambulia kitu. Kwenye mitandao wanajinasibu mikopo yao ni riba nafuu na unapata hapo hapo ila ukianza loan process mpaka utajuta.
Nimeweka kitambulisho cha NIDA, nikaenda kuscan barua ya maombi ya mkopo wa 20000 tena Ina muhuri wa mtendaji pamoja na advocate nikatuma bado tena wanataka wadhamini ambapo mmoja lazima awe ni kiongozi wa Serikali za mtaa. Nae mtendaji namwambia anidhamini hataki.
Still wanataka kila mdhamini na passport size yake ambapo kupiga passport size ni buku tatu sasa wadhamin Watano jumla siinakuwa elfu kumi na tano. Yani nitumie gharama zaidi ya 15000 kwa mkopo wa twenty. Kama hawataki basi bhana.