Vigezo vya kukopa Tala na branch ni vigumu kuliko vya Green Card

Kuna wengine walikuwa wanajiita L-PESA walikuwa wanakopesha kwa dollar, hao niliwapiga na kitu kizito mwaka 20160hawatakuja kunisahau.
Shida wabongo uhuni mwingi ndomana hatukopeshwi, wapuuzi wachache mnasababisha wengine kukopa iwe shida
 
Nimehangaika tangu wiki lililopita usiku na mchana masaa 24 siku saba za week lakini sijaambulia kitu. Kwenye mitandao wanajinasibu mikopo yao ni riba nafuu na unapata hapo hapo ila ukianza loan process mpaka utajuta.

Nimeweka kitambulisho cha NIDA, nikaenda kuscan barua ya maombi ya mkopo wa 20000 tena Ina muhuri wa mtendaji pamoja na advocate nikatuma bado tena wanataka wadhamini ambapo mmoja lazima awe ni kiongozi wa Serikali za mtaa. Nae mtendaji namwambia anidhamini hataki.

Still wanataka kila mdhamini na passport size yake ambapo kupiga passport size ni buku tatu sasa wadhamin Watano jumla siinakuwa elfu kumi na tano. Yani nitumie gharama zaidi ya 15000 kwa mkopo wa twenty. Kama hawataki basi bhana.

View attachment 2290590
Kwanini usitumie tigonivushe kama uko tigo
 
Kuna wengine walikuwa wanajiita L-PESA walikuwa wanakopesha kwa dollar, hao niliwapiga na kitu kizito mwaka 20160hawatakuja kunisahau.
African brain, watu wanakuja kukukwanueni cha ajabu mnawapiga halafu mnajisifu.
 
TALA ndiyo wasumbufu lakini branch hawana longolongo Wala hawana Mambo ya barua mimi nakula mkopo branch fasta ukikamklisha kujisajili mzigo unaingia kwenye simu yako.
Mkuu mi nimeshindwa kabisa process zote nimefuata umefanyaje wewe ?

Hivi nikiwakopa nikakimbia si hawana pa kunishika si hawana noma
 
Nimehangaika tangu wiki lililopita usiku na mchana masaa 24 siku saba za week lakini sijaambulia kitu. Kwenye mitandao wanajinasibu mikopo yao ni riba nafuu na unapata hapo hapo ila ukianza loan process mpaka utajuta.

Nimeweka kitambulisho cha NIDA, nikaenda kuscan barua ya maombi ya mkopo wa 20000 tena Ina muhuri wa mtendaji pamoja na advocate nikatuma bado tena wanataka wadhamini ambapo mmoja lazima awe ni kiongozi wa Serikali za mtaa. Nae mtendaji namwambia anidhamini hataki.

Still wanataka kila mdhamini na passport size yake ambapo kupiga passport size ni buku tatu sasa wadhamin Watano jumla siinakuwa elfu kumi na tano. Yani nitumie gharama zaidi ya 15000 kwa mkopo wa twenty. Kama hawataki basi bhana.

View attachment 2290590
Siku ya June 25-2022 uliponda sana walimu Kwa muonekano wao ukasema they are too primitive, uvaaji wao wa hobyo. Ukakazia kuwa wananuka MADENI kibao. Sasa huko TALA ulikuwa unafanya Nini? Kumbe wewe pia ni kapuku? unakesha 24 hours kukopa twenty? Haya ulete mrejesho hiyo twenty umekopa wapi baada ya kupigwa chini na TALA na riba yake ni Tsh ngapi
 
Nimehangaika tangu wiki lililopita usiku na mchana masaa 24 siku saba za week lakini sijaambulia kitu. Kwenye mitandao wanajinasibu mikopo yao ni riba nafuu na unapata hapo hapo ila ukianza loan process mpaka utajuta.

Nimeweka kitambulisho cha NIDA, nikaenda kuscan barua ya maombi ya mkopo wa 20000 tena Ina muhuri wa mtendaji pamoja na advocate nikatuma bado tena wanataka wadhamini ambapo mmoja lazima awe ni kiongozi wa Serikali za mtaa. Nae mtendaji namwambia anidhamini hataki.

Still wanataka kila mdhamini na passport size yake ambapo kupiga passport size ni buku tatu sasa wadhamin Watano jumla siinakuwa elfu kumi na tano. Yani nitumie gharama zaidi ya 15000 kwa mkopo wa twenty. Kama hawataki basi bhana.

View attachment 2290590
Yaani wewe mpwayungu village ni wa kukopa TALA na BRANCH kweli! Au ndiyo ile laana ya kuwatukana walimu wako ndiyo imeanza kukuandama!
 
Kuna wengine walikuwa wanajiita L-PESA walikuwa wanakopesha kwa dollar, hao niliwapiga na kitu kizito mwaka 20160hawatakuja kunisahau.
watz ujanja-ujanja upo kwenye damu yetu. yaan unajisifia na kujisifia kukwepa kulipa deni?. like seriously!!.

you are a bad example to your community.
ni kweli kudaiwa kunakera, ila sijawahi kufikia hatua ya kujisifia publicly kukwepa kulipa pesa watu ninayodaiwa.
 
Haya ni maisha halisi ya wanaJF wengi wanajidai mambo safi kumbe wanaungaunga na 20000 na wakidaiwa wanakuwa wakali...
Sasa si heri hao walimu wanaopambania maisha yao kihalali..
 
Kwahiyo hawa jamaa nilichowafanyia hawakukoma wamerudi tena sio!? Ngoja nirudi chimbo this time maji wataita mmma.
 
Back
Top Bottom