Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #61
Kuwa mstarabu ukikopa rudisha afu wewe mtoto wa kiume ndugu yanguWewe ndio unaniona mjanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mstarabu ukikopa rudisha afu wewe mtoto wa kiume ndugu yanguWewe ndio unaniona mjanja
Mkuu mi nimeshindwa kabisa process zote nimefuata umefanyaje wewe ?
Hivi nikiwakopa nikakimbia si hawana pa kunishika si hawana noma
watz ujanja-ujanja upo kwenye damu yetu. yaan unajisifia na kujisifia kukwepa kulipa deni?. like seriously!!.
you are a bad example to your community.
ni kweli kudaiwa kunakera, ila sijawahi kufikia hatua ya kujisifia publicly kukwepa kulipa pesa watu ninayodaiwa.
Yote tisa .
Kubwa lao tigo nivushe
Kuna laini wananidai 450,000
nyingine 245,000 ila hii ya 245,000 wameifungia
African brain, watu wanakuja kukukwanueni cha ajabu mnawapiga halafu mnajisifu.
Mm nilianza na 10000 mpaka ikafika 390000OK japo Sina line ya Voda ngoja nikasajili huenda wakakubali
Nimesajili line ya Voda juzi ili nikope ajabu wananiambia sijakizi vigezo, Sasa sijui wanaangalia vigezo vipi au mpaka waje wanione uso kwa usoMm nilianza na 10000 mpaka ikafika 390000
Uamifu ni kitu cha bure mzee..mfano mimi tigo nivushe naweza vuta hata 800,000 kwaio najua nikipata shida ya 800,000 naipata on the spot ila niliamua kusitisha sababu ukiwa mkopaji sana inakua kama addictionHawa mi wananidai 180000 niliacha walipo anza niletea habari za statement za miamala yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo nivushe piga *150*81#Hiyo tigo nivushe Bado IPO . Je process zake Ni zupi?