Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #21
Shida wabongo uhuni mwingi ndomana hatukopeshwi, wapuuzi wachache mnasababisha wengine kukopa iwe shidaKuna wengine walikuwa wanajiita L-PESA walikuwa wanakopesha kwa dollar, hao niliwapiga na kitu kizito mwaka 20160hawatakuja kunisahau.
Mzee wa kugonga Heineken Burundi unalialia kuomba mkopo wa 20,000 TALA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]imeisha hiyo in KADAGAA voice[emoji3][emoji3][emoji3]Shida wabongo uhuni mwingi ndomana hatukopeshwi, wapuuzi wachache mnasababisha wengine kukopa iwe shida
Kwanini usitumie tigonivushe kama uko tigoNimehangaika tangu wiki lililopita usiku na mchana masaa 24 siku saba za week lakini sijaambulia kitu. Kwenye mitandao wanajinasibu mikopo yao ni riba nafuu na unapata hapo hapo ila ukianza loan process mpaka utajuta.
Nimeweka kitambulisho cha NIDA, nikaenda kuscan barua ya maombi ya mkopo wa 20000 tena Ina muhuri wa mtendaji pamoja na advocate nikatuma bado tena wanataka wadhamini ambapo mmoja lazima awe ni kiongozi wa Serikali za mtaa. Nae mtendaji namwambia anidhamini hataki.
Still wanataka kila mdhamini na passport size yake ambapo kupiga passport size ni buku tatu sasa wadhamin Watano jumla siinakuwa elfu kumi na tano. Yani nitumie gharama zaidi ya 15000 kwa mkopo wa twenty. Kama hawataki basi bhana.
View attachment 2290590
Hakopesheki na taasisi za fedha.Kwanini usitumie tigonivushe kama uko tigo
Wananuka madeni mpaka wanakopa dagaa kwa mangi, mwezi bado haujafika wameanza kusumbua nyongeza ya pay roll 23%mpwayungu village Kakope kwa maadui zako walimu,sahiv siyo washamba tena kama ulivokuwa ukiwaona hapo mwanzo!
Mbona mm wananikatalia?kopa branch hawana mambo mengi..uwe tu muaminifu
African brain, watu wanakuja kukukwanueni cha ajabu mnawapiga halafu mnajisifu.Kuna wengine walikuwa wanajiita L-PESA walikuwa wanakopesha kwa dollar, hao niliwapiga na kitu kizito mwaka 20160hawatakuja kunisahau.
tumia laini ya voda kujisajili, then kama kwenye simu una laini ingine i homoe kwa muda unapofungua app mara ya kwanzaMbona mm wananikatalia?
Mkuu mi nimeshindwa kabisa process zote nimefuata umefanyaje wewe ?TALA ndiyo wasumbufu lakini branch hawana longolongo Wala hawana Mambo ya barua mimi nakula mkopo branch fasta ukikamklisha kujisajili mzigo unaingia kwenye simu yako.
Ngoja niwakope nipite hivitumia laini ya voda kujisajili, then kama kwenye simu una laini ingine i homoe kwa muda unapofungua app mara ya kwanza
Siku ya June 25-2022 uliponda sana walimu Kwa muonekano wao ukasema they are too primitive, uvaaji wao wa hobyo. Ukakazia kuwa wananuka MADENI kibao. Sasa huko TALA ulikuwa unafanya Nini? Kumbe wewe pia ni kapuku? unakesha 24 hours kukopa twenty? Haya ulete mrejesho hiyo twenty umekopa wapi baada ya kupigwa chini na TALA na riba yake ni Tsh ngapiNimehangaika tangu wiki lililopita usiku na mchana masaa 24 siku saba za week lakini sijaambulia kitu. Kwenye mitandao wanajinasibu mikopo yao ni riba nafuu na unapata hapo hapo ila ukianza loan process mpaka utajuta.
Nimeweka kitambulisho cha NIDA, nikaenda kuscan barua ya maombi ya mkopo wa 20000 tena Ina muhuri wa mtendaji pamoja na advocate nikatuma bado tena wanataka wadhamini ambapo mmoja lazima awe ni kiongozi wa Serikali za mtaa. Nae mtendaji namwambia anidhamini hataki.
Still wanataka kila mdhamini na passport size yake ambapo kupiga passport size ni buku tatu sasa wadhamin Watano jumla siinakuwa elfu kumi na tano. Yani nitumie gharama zaidi ya 15000 kwa mkopo wa twenty. Kama hawataki basi bhana.
View attachment 2290590
Yaani wewe mpwayungu village ni wa kukopa TALA na BRANCH kweli! Au ndiyo ile laana ya kuwatukana walimu wako ndiyo imeanza kukuandama!Nimehangaika tangu wiki lililopita usiku na mchana masaa 24 siku saba za week lakini sijaambulia kitu. Kwenye mitandao wanajinasibu mikopo yao ni riba nafuu na unapata hapo hapo ila ukianza loan process mpaka utajuta.
Nimeweka kitambulisho cha NIDA, nikaenda kuscan barua ya maombi ya mkopo wa 20000 tena Ina muhuri wa mtendaji pamoja na advocate nikatuma bado tena wanataka wadhamini ambapo mmoja lazima awe ni kiongozi wa Serikali za mtaa. Nae mtendaji namwambia anidhamini hataki.
Still wanataka kila mdhamini na passport size yake ambapo kupiga passport size ni buku tatu sasa wadhamin Watano jumla siinakuwa elfu kumi na tano. Yani nitumie gharama zaidi ya 15000 kwa mkopo wa twenty. Kama hawataki basi bhana.
View attachment 2290590
watz ujanja-ujanja upo kwenye damu yetu. yaan unajisifia na kujisifia kukwepa kulipa deni?. like seriously!!.Kuna wengine walikuwa wanajiita L-PESA walikuwa wanakopesha kwa dollar, hao niliwapiga na kitu kizito mwaka 20160hawatakuja kunisahau.
Hiyo tigo nivushe Bado IPO . Je process zake Ni zupi?Yote tisa .
Kubwa lao tigo nivushe
Kuna laini wananidai 450,000
nyingine 245,000 ila hii ya 245,000 wameifungia