Vigezo vya kukopa Tala na branch ni vigumu kuliko vya Green Card

Hiyo nivushe mbona kwangu wanakataa.Nina miezi minne tangu kusajili line ya Tigo lakini wananmbia muda bado.
 
Haya ni maisha halisi ya wanaJF wengi wanajidai mambo safi kumbe wanaungaunga na 20000 na wakidaiwa wanakuwa wakali...
Sasa si heri hao walimu wanaopambania maisha yao kihalali..
Aliyekwambia kukopa ni kwamasikini tu basi kakulisha matangopori
 
Mkuu sisi ngozi nyeusi acha tuendelee kunyanyapaliwa tu ikiwezekana tutawaliwe second phase maana bado tuna ushamba mwingi hata nguruwe pori ana unafuu
 
Sasa kama ni hivyo Sibora watulie kuliko kutusumbua mitandaoni, watu tunatumia mpaka gharama ya kumpa wakili pesa agonge muhuri lakini kila ukiatachi vigezo vinaongezeka tu.
Dah, hawa jamaa niliwadhulumu, ila kipindi kile walinisaidia sana kwa ule mkopo wao, shida yao Kila nikitaka kuwalipa wao wanawahi kunitumia sms kwamba mimi tapeli lazima wanikamate na kunishtaki, hapo nabadili mawazo naingia bar, ingawaje waliniokoa kipindi kile nimekwama sipendi iwe sababu ya kunitumia sms za kunidhalilisha na kunitisha.
 
Ila niliwapiga ndeeefu, badala wawe wanyenyekevu, wanaleta jeuri. Ila mwezi huu namalizana nao.kwa sababu ni haki yao
 
Hawa jamaa wamejiunga na mtandao wa simu kitu kama tigo, masharti yamekuwa mengi kwani watu wengi wamewaliza, binafsi hadi leo nina deni lao....
 
achana na hizo umbwa,
yani zinalubalancia vijipesa.
ikienda sana mkopo mkubwa lakini unschokipata ni namba chafu+makato ya kutolea hicho kisungura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…