Vigezo vya kukopa Tala na branch ni vigumu kuliko vya Green Card

Mkuu mi nimeshindwa kabisa process zote nimefuata umefanyaje wewe ?

Hivi nikiwakopa nikakimbia si hawana pa kunishika si hawana noma
Yote tisa .
Kubwa lao tigo nivushe
Kuna laini wananidai 450,000
nyingine 245,000 ila hii ya 245,000 wameifungia
African brain, watu wanakuja kukukwanueni cha ajabu mnawapiga halafu mnajisifu.
 
Hawa mi wananidai 180000 niliacha walipo anza niletea habari za statement za miamala yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uamifu ni kitu cha bure mzee..mfano mimi tigo nivushe naweza vuta hata 800,000 kwaio najua nikipata shida ya 800,000 naipata on the spot ila niliamua kusitisha sababu ukiwa mkopaji sana inakua kama addiction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…