Uchaguzi 2020 Vigezo vya mgombea kuenguliwa na NEC viko kwenye fomu aliyochukua NEC

hapo kwa NEC kuwa madaraka ya kumkatalia mgombea nafasi ya uraisi NDIPO HAPO 'shetani anapopewa nafasi'
 
Baada ya Mapambio ya Chadema imekufa...Lumumba ndio wanashtuka kuwa kumbe wako Ngangari.
 
Magufuli Hana haja ya Kujitangaza kuwa nakuja kutafuta wadhamini fomu yake inatembezwa juu kwa juu yeye Bila kutoka jasho kukodi bodaboda kupigwa picha za visimu vya mitumba selfie na kutoa vihotuba Koko vya kujikomba ili ajaziwe fomu na wadhamini

So unaona Magufuli ni Superior sana?
 
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.

Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?...
Anajaza kimyakimya au anajaziwa na wenyeviti in-absencia?
 
Kwani Chadema hawako wenyeviti wa Chadema wa mikoa wamjazie Lisu mteule wa chama Hadi azunguke mwenyewe na mibodaboda hawamtaki au?
 
Baada ya Mapambio ya Chadema imekufa...Lumumba ndio wanashtuka kuwa kumbe wako Ngangari.
Chadema imekufa si unaona Lisu anazunguka na fomu mwenyewe Hakuna my wa kusema wewe katulie sisi viongozi wa Chadema wa mikoa tutakusaidia kuzungusha kujaza hiyo fomu
 
Kwani Chadema hawako wenyeviti wa Chadema wa mikoa wamjazie Lisu mteule wa chama Hadi azunguke mwenyewe na mibodaboda hawamtaki au?
wanamtaka sana na hakuna mitutu kumlinda kipenzi cha watu! jogoo hoyee
 
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.

Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?

Jibu rahisi, Kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.

Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.

Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.

Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.

Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.
Umesema kisheria,
Unaweza kutaja jina la sheria?
Sifa za kwanza kabisa za Kugombea ni zile za kwenye katiba,
 
Chadema imekufa si unaona Lisu anazunguka na fomu mwenyewe Hakuna my wa kusema wewe katulie sisi viongozi wa Chadema wa mikoa tutakusaidia kuzungusha kujaza hiyo fomu
Kama imekufa mbona sasa watu wanajaa?
 
Magufuli Hana haja ya Kujitangaza kuwa nakuja kutafuta wadhamini fomu yake inatembezwa juu kwa juu yeye Bila kutoka jasho kukodi bodaboda kupigwa picha za visimu vya mitumba selfie na kutoa vihotuba Koko vya kujikomba ili ajaziwe fomu na wadhamini
Hao unaowadharau ndio wenye nchi

Sent from my XT1097 using JamiiForums mobile app
 
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.

Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?

Jibu rahisi, Kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.

Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.

Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.

Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.

Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.
Unaongelea NEC gani jamaa? Hii ambayo IMEWEKWA MFUKONI na Dikteta JPM? UVCCM mnavituko sana.
 
Katiba hueleza jumla jumla haifafanui kwa undani sheria ndizo hufafanua kwa undani mgombea anatakiwa aweje

Ukisoma katiba Soma na sheria pia ya uchaguzi usiishie katiba tu
Sasa hizo sifa za mgombea kwenye sheria zimefafanuliwaje?
 
Kwani Chadema hawako wenyeviti wa Chadema wa mikoa wamjazie Lisu mteule wa chama Hadi azunguke mwenyewe na mibodaboda hawamtaki au?
CHADEMA si ilishakufa? Wasiwasi wa nini tena?
 
Back
Top Bottom