pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
hapo kwa NEC kuwa madaraka ya kumkatalia mgombea nafasi ya uraisi NDIPO HAPO 'shetani anapopewa nafasi'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshaharibu tangu walipotuletea Rais wa kujenga miundombinu na kukandamiza wapinzaniMsituharibie Taifa kwa ujinga wenu
Magufuli Hana haja ya Kujitangaza kuwa nakuja kutafuta wadhamini fomu yake inatembezwa juu kwa juu yeye Bila kutoka jasho kukodi bodaboda kupigwa picha za visimu vya mitumba selfie na kutoa vihotuba Koko vya kujikomba ili ajaziwe fomu na wadhamini
Anajaza kimyakimya au anajaziwa na wenyeviti in-absencia?NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?...
Chadema imekufa si unaona Lisu anazunguka na fomu mwenyewe Hakuna my wa kusema wewe katulie sisi viongozi wa Chadema wa mikoa tutakusaidia kuzungusha kujaza hiyo fomuBaada ya Mapambio ya Chadema imekufa...Lumumba ndio wanashtuka kuwa kumbe wako Ngangari.
wanamtaka sana na hakuna mitutu kumlinda kipenzi cha watu! jogoo hoyeeKwani Chadema hawako wenyeviti wa Chadema wa mikoa wamjazie Lisu mteule wa chama Hadi azunguke mwenyewe na mibodaboda hawamtaki au?
Umesema kisheria,NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?
Jibu rahisi, Kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.
Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.
Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.
Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.
Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.
Kama imekufa mbona sasa watu wanajaa?Chadema imekufa si unaona Lisu anazunguka na fomu mwenyewe Hakuna my wa kusema wewe katulie sisi viongozi wa Chadema wa mikoa tutakusaidia kuzungusha kujaza hiyo fomu
Hao unaowadharau ndio wenye nchiMagufuli Hana haja ya Kujitangaza kuwa nakuja kutafuta wadhamini fomu yake inatembezwa juu kwa juu yeye Bila kutoka jasho kukodi bodaboda kupigwa picha za visimu vya mitumba selfie na kutoa vihotuba Koko vya kujikomba ili ajaziwe fomu na wadhamini
Unaongelea NEC gani jamaa? Hii ambayo IMEWEKWA MFUKONI na Dikteta JPM? UVCCM mnavituko sana.NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?
Jibu rahisi, Kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo yaliyomo kwenye fomu unapojaza maelezo yako.
Ukiirudisha Tume Baada ya Tume kujiridhisha beyond reasonable doubt kisheria ndio wanakutangaza mgombea.
Hivyo kuchukua fomu si kupitishwa, unapewa ukajaze maelezo binafsi na wadhamini.
Sasa wewe ukijichukulia kuwa tayari ni mgombea ukaanza kuchoma pesa zako kama umeshateuliwa hayo yako hayahusiani na tume
ndio maana hata Magufuli fomu yake anatembeza kimya kimya.
Wagombea wengine eleweni hilo. Fomu ukipewa ni kwenda kujaza personal particulars tu wadhamini tu hakuhitaji mbwembwe sababu uteuzi wa NEC bado.
Sasa hizo sifa za mgombea kwenye sheria zimefafanuliwaje?Katiba hueleza jumla jumla haifafanui kwa undani sheria ndizo hufafanua kwa undani mgombea anatakiwa aweje
Ukisoma katiba Soma na sheria pia ya uchaguzi usiishie katiba tu
CHADEMA si ilishakufa? Wasiwasi wa nini tena?Kwani Chadema hawako wenyeviti wa Chadema wa mikoa wamjazie Lisu mteule wa chama Hadi azunguke mwenyewe na mibodaboda hawamtaki au?