Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Shida sio kujipigia pesa ya watanzania,ina maana cdm imekua saccos ya mtu na tena huyu mtu aguswiWaache wakajipigie pesa huko kwa wajinga......vya mjinga
Hao watanzania wenyewe wakupambania wako wapi?
hata Lissu akitaka kujipigia hela za Abdul apige tu akapumzikw zake huko Kanada.