Pre GE2025 Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa

Pre GE2025 Vigogo wa CHADEMA Arusha wasema tusishangae Lema akimfata Msigwa, wadai Lema hufanya vikao vya siri na Gambo, Makonda na Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waache wakajipigie pesa huko kwa wajinga......vya mjinga

Hao watanzania wenyewe wakupambania wako wapi?

hata Lissu akitaka kujipigia hela za Abdul apige tu akapumzikw zake huko Kanada.
Shida sio kujipigia pesa ya watanzania,ina maana cdm imekua saccos ya mtu na tena huyu mtu aguswi
 
Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa.

Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo, Lemma alijiapiza hatagombea cheo chochote kanda ya kaskazini.

Wakati Msigwa akikitifua ndani ya chadema, mmoja wa watu walkomuunga mkono ni Lema na Lissu.
Macho yao ni ya usaliti tu yanaonyesha
 
Mbona kila mmoja anaongea lake? Lema naye ajitokeze kuweka mambo sawa ili wadau waelewe ukweli.
 
Back
Top Bottom