Tetesi: Vigogo waliosimamishwa kazi waajiriwa sekta binafsi, waendelea kupokea mishahara ya serikali

Tuanzie hapa hivi TTCL baada ya kuondoka mama chilipweli kigogo gani mwingine kaondoka ttcl??
 
Mlisema lowassa ana mtandao mkubwa ngoja tuone 2020 yaani hapa tunang'oa miti mizizi mpaka udongo na bado system yote aliyokuwa nayo tunafyeka hamjiulizi kwann mbowe ameanza kukingia kifua majipu na bado
 
Mtoa maada hakuna haja ya kuliangalia upya acha waende huko. Hata wangepata milion 200 kwa mwezi hawatufai wezi hao
 
Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa mwezi (take home). Aidha vigogo hao bado wameendelea kulipwa asilimia hamsini ya mishahara yao serikalini.

Hayo yanajiri huku kigogo mwingine aliyesimamishwa kazi TTCL akitarajiwa kusaini donge nono katika kampuni moja ya uzalishaji hapa nchini. Vigogo hao ambao majina yao yanahifadhiwa, wote kwa pamoja wanaendelea kulipwa nusu ya m ishahara yao ya awali pamoja na stahiki nyingine kama kawaida wakati ambapo tayari wameajiriwa ndani ya sekta binafsi.

Aidha kigogo mwingine wa TRA aliyesimamishwa kazi kwa kudaiwa kuhusika na wizi mkubwa wa mapato ndani ya shirika hilo naye ameula ndani ya kampuni moja kubwa ya madini nchini huku mshahara wake ukikadiriwa kufika milioni kumi na tano kwa mwezi!

Kuna haja ya kuliangalia upya swala hili!!!
Utter nonsense! Yaajiriwe au yasiajiriwe ni majizi tu; mahakama ya mafisadi hiyo yaja; tutayafunga tu!
 
Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa mwezi (take home). Aidha vigogo hao bado wameendelea kulipwa asilimia hamsini ya mishahara yao serikalini.

Hayo yanajiri huku kigogo mwingine aliyesimamishwa kazi TTCL akitarajiwa kusaini donge nono katika kampuni moja ya uzalishaji hapa nchini. Vigogo hao ambao majina yao yanahifadhiwa, wote kwa pamoja wanaendelea kulipwa nusu ya m ishahara yao ya awali pamoja na stahiki nyingine kama kawaida wakati ambapo tayari wameajiriwa ndani ya sekta binafsi.

Aidha kigogo mwingine wa TRA aliyesimamishwa kazi kwa kudaiwa kuhusika na wizi mkubwa wa mapato ndani ya shirika hilo naye ameula ndani ya kampuni moja kubwa ya madini nchini huku mshahara wake ukikadiriwa kufika milioni kumi na tano kwa mwezi!

Kuna haja ya kuliangalia upya swala hili!!!
Kubenyea style!
 
Watu wanatakiwa wachunguzwe kwanza
ndo wasimamishwe na kupelekwa mahakamani kama kuna makosa; hili la kumsimamisha mtu ndo umchunguze anakuwa hajawa mkosaji bali mtuhumiwa tu. ... hivo ni haki yake akiweza toka home kupunguza maswali ya watoto kwa nn huendi kazini...
Sawa. Wanatakiwa wachunguzwe wakiwa wapi? Ndio maana wanawekwa pembeni ili wachunguzwe.
 
Dhana ya kutumbua majipu imekosa mvuto kwakuwa inaangalia zaidi sura za watu na si changamoto za mifumo....

Ndio maana serikali hii imejikita ktk kubadili sura za watu na si mifumo....
Mfumo upi haujaguswa mkuu?
 
Hivi lengo lako mtoa mada ni kutaka tuamini kuwa kutumbua majipu sio sahihi au kuwa Uadilifu ni pamoja na kulipwa mshahara mkubwa?
 
Dhana ya kutumbua majipu imekosa mvuto kwakuwa inaangalia zaidi sura za watu na si changamoto za mifumo....

Ndio maana serikali hii imejikita ktk kubadili sura za watu na si mifumo....

Mfumo maana yake nini na kifanyike kitu gani pendekeza tuelimike
 
Maelezo yako yana harufu ya uzushi na tungo za kufikirika!

Hata shetani akigunduliwa au akishindwa kumshawishi mtu mmoja atende dhambi huhamia kwa mwingine ili kuendeleza mission yake!

Wametiliwa shaka na wengine wamefisadi kodi za wananchi na kwa sasa wanahamia sehemu nyingine kuendeleza mission zao!

Taifa lina watu wengi wenye uwezo katika sehemu walizokuwa wanazitumikia.

Cheo serikalini ni dhamana na sio haki ya mtu mmoja.

Kupata kazi sehemu zingine hakuwezi kuzuia mahakama kuwafunga kwa makosa ya kutumia madaraka yao isivyo na ufisadi.
Ni sahihi kabisa! Hizo kazi za mamilioni ya shuingi si zilikuwepo tangu zamani mbona hawakuenda tangu zamani?!?!? Unajua kwa nini ?!?!?!Unadhani Private sector wanamchezzo? Wakishakulipa hivyo ndio basi sijui marupurupu mengine na hasa hayo waliyokuwa wanayaiba ( ambayo ndiyo interest yetu( hawatayapata ng'o!
 
kuajiriwa ni geresha tu. hayo ni makampuni yao au ya wabia zao ambapo kwa pamoja washapiga sana hela ya umma. lazima kieleweke ili hatima yao iwe kutupwa lupango na kufilisiwa.
umepiga bull,kama ni kweli,hayo ni makampuni yao. Yalianzishwa kwa ufisadi. Thread yenyewe haina chanzo,majina ya kampuni,walioajiriwa ni nani. Ovyo....
 
Hata hayo makampuni yanayoajiri hawa yanaangaliwa kwa karibu yatumbuliwe
 
Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa mwezi (take home). Aidha vigogo hao bado wameendelea kulipwa asilimia hamsini ya mishahara yao serikalini.

Hayo yanajiri huku kigogo mwingine aliyesimamishwa kazi TTCL akitarajiwa kusaini donge nono katika kampuni moja ya uzalishaji hapa nchini. Vigogo hao ambao majina yao yanahifadhiwa, wote kwa pamoja wanaendelea kulipwa nusu ya m ishahara yao ya awali pamoja na stahiki nyingine kama kawaida wakati ambapo tayari wameajiriwa ndani ya sekta binafsi.

Aidha kigogo mwingine wa TRA aliyesimamishwa kazi kwa kudaiwa kuhusika na wizi mkubwa wa mapato ndani ya shirika hilo naye ameula ndani ya kampuni moja kubwa ya madini nchini huku mshahara wake ukikadiriwa kufika milioni kumi na tano kwa mwezi!

Kuna haja ya kuliangalia upya swala hili!!!
Maelezo yako yana harufu ya uzushi na tungo za kufikirika!

Hata shetani akigunduliwa au akishindwa kumshawishi mtu mmoja atende dhambi huhamia kwa mwingine ili kuendeleza mission yake!

Wametiliwa shaka na wengine wamefisadi kodi za wananchi na kwa sasa wanahamia sehemu nyingine kuendeleza mission zao!

Taifa lina watu wengi wenye uwezo katika sehemu walizokuwa wanazitumikia.

Cheo serikalini ni dhamana na sio haki ya mtu mmoja.

Kupata kazi sehemu zingine hakuwezi kuzuia mahakama kuwafunga kwa makosa ya kutumia madaraka yao isivyo na ufisadi.
Hii tumbua tumbua inatafuta popularity kwenye vyombo vya habari
Wewe ni zaidi ya bwege kizazi cha shetani.

1. Watu wanafanya kazi serikalini kwa kujidhili ili wajenge CV hawana maslahi wala haja ya zaidi ya hilo.

2. CV ikishajengwa hawatafuti kazi kazi zinawatafuta

3. Hujaeleza po pote kutoa ushahidi wa ushetani wao. Kwa maoni ya watu makini shetani ni JPM na awamu yake ya 5 kwa kukurupuka kwa sababu kuna watu hawana hatia kawaonea na hana jinsi ya kuwasafisha au yeye kujisafisha kutokana na kukurupuka kwake.

4. Dhamana yao ni nyara za serikali hawa wanayajua mangapi ya serikali? Unapowadhalilisha umekata daraja la mawasiliano na utiifu wao wa kawaida kwa nchi yao.

5. Hao malaika mbona wanataka kufiucha maovu yao kwa kutoruhus mkondo wa demokrsia utafute njia yake?

6. Wewe na wenzio mmepanda mbegu ya chuki tusubiri wakati wa mavuno.

Ushabiki wenu huo lazima unaendeshwa na shetani maana ndiye kinara wa kila aina ya ubatili wa kutenda haki
ILIBIDI SASA TUWAACHE WAENDELEE KUIBA KWASABABU KUWAFUKUZA MAKADA WA UKAWA NI BALAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom