Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
HILI SWALI LAKO KWANINI USIMUULIZE MLETA MADA?????????????Sawa sasa shida iko wapi kama watafanya kazi sehem nyingine wakati wanasubiri...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HILI SWALI LAKO KWANINI USIMUULIZE MLETA MADA?????????????Sawa sasa shida iko wapi kama watafanya kazi sehem nyingine wakati wanasubiri...?
Kutimuliwa katika utumishi wa umma haimaanishi sasa wakafe au hawafai kabisa, wanaweza faa sehemu ingine na sio katika kuwatumikia wananchi wanyonge wa tanzania, wanaweza faa kuwatumikia matajiri na wawekezaji, ila kaatika ofisi za umma hapana.Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa mwezi (take home). Aidha vigogo hao bado wameendelea kulipwa asilimia hamsini ya mishahara yao serikalini.
Hayo yanajiri huku kigogo mwingine aliyesimamishwa kazi TTCL akitarajiwa kusaini donge nono katika kampuni moja ya uzalishaji hapa nchini. Vigogo hao ambao majina yao yanahifadhiwa, wote kwa pamoja wanaendelea kulipwa nusu ya m ishahara yao ya awali pamoja na stahiki nyingine kama kawaida wakati ambapo tayari wameajiriwa ndani ya sekta binafsi.
Aidha kigogo mwingine wa TRA aliyesimamishwa kazi kwa kudaiwa kuhusika na wizi mkubwa wa mapato ndani ya shirika hilo naye ameula ndani ya kampuni moja kubwa ya madini nchini huku mshahara wake ukikadiriwa kufika milioni kumi na tano kwa mwezi!
Kuna haja ya kuliangalia upya swala hili!!!
Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa mwezi (take home). Aidha vigogo hao bado wameendelea kulipwa asilimia hamsini ya mishahara yao serikalini.

ILIBIDI SASA TUWAACHE WAENDELEE KUIBA KWASABABU KUWAFUKUZA MAKADA WA UKAWA NI BALAAAAAAAA
UMEITUMIA FURSA VIZURI,...Zungumza, andika chochote ili mradi kisimuathiri mtu,tassisi au jumuiya SASA UNAWEZA KUENDELEA.....Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa mwezi (take home). Aidha vigogo hao bado wameendelea kulipwa asilimia hamsini ya mishahara yao serikalini.
Hayo yanajiri huku kigogo mwingine aliyesimamishwa kazi TTCL akitarajiwa kusaini donge nono katika kampuni moja ya uzalishaji hapa nchini. Vigogo hao ambao majina yao yanahifadhiwa, wote kwa pamoja wanaendelea kulipwa nusu ya m ishahara yao ya awali pamoja na stahiki nyingine kama kawaida wakati ambapo tayari wameajiriwa ndani ya sekta binafsi.
Aidha kigogo mwingine wa TRA aliyesimamishwa kazi kwa kudaiwa kuhusika na wizi mkubwa wa mapato ndani ya shirika hilo naye ameula ndani ya kampuni moja kubwa ya madini nchini huku mshahara wake ukikadiriwa kufika milioni kumi na tano kwa mwezi!
Kuna haja ya kuliangalia upya swala hili!!!
Dhana ya kutumbua majipu imekosa mvuto kwakuwa inaangalia zaidi sura za watu na si changamoto za mifumo....
Ndio maana serikali hii imejikita ktk kubadili sura za watu na si mifumo....
Vipi kuhusu muhongo mkuu. Yeye anastahili kuendelea kuwa kiongozi wakati wengine wapo?Maelezo yako yana harufu ya uzushi na tungo za kufikirika!
Hata shetani akigunduliwa au akishindwa kumshawishi mtu mmoja atende dhambi huhamia kwa mwingine ili kuendeleza mission yake!
Wametiliwa shaka na wengine wamefisadi kodi za wananchi na kwa sasa wanahamia sehemu nyingine kuendeleza mission zao!
Taifa lina watu wengi wenye uwezo katika sehemu walizokuwa wanazitumikia.
Cheo serikalini ni dhamana na sio haki ya mtu mmoja.
Kupata kazi sehemu zingine hakuwezi kuzuia mahakama kuwafunga kwa makosa ya kutumia madaraka yao isivyo na ufisadi.
50% bila kufanya kazi?Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa mwezi (take home). Aidha vigogo hao bado wameendelea kulipwa asilimia hamsini ya mishahara yao serikalini.
Hayo yanajiri huku kigogo mwingine aliyesimamishwa kazi TTCL akitarajiwa kusaini donge nono katika kampuni moja ya uzalishaji hapa nchini. Vigogo hao ambao majina yao yanahifadhiwa, wote kwa pamoja wanaendelea kulipwa nusu ya m ishahara yao ya awali pamoja na stahiki nyingine kama kawaida wakati ambapo tayari wameajiriwa ndani ya sekta binafsi.
Aidha kigogo mwingine wa TRA aliyesimamishwa kazi kwa kudaiwa kuhusika na wizi mkubwa wa mapato ndani ya shirika hilo naye ameula ndani ya kampuni moja kubwa ya madini nchini huku mshahara wake ukikadiriwa kufika milioni kumi na tano kwa mwezi!
Kuna haja ya kuliangalia upya swala hili!!!
Binadamu wengine bwana mnataka mpaka mfanyiwe nini hasa?!!! Huwa napata Hasira Sana na watu kama wewe.Dhana ya kutumbua majipu imekosa mvuto kwakuwa inaangalia zaidi sura za watu na si changamoto za mifumo....
Ndio maana serikali hii imejikita ktk kubadili sura za watu na si mifumo....
Hahaha... Hizo bangi unazovuta ni stimu za kulanduka, kama siyo fani yako utaumbukaaaaaa....Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa mwezi (take home). Aidha vigogo hao bado wameendelea kulipwa asilimia hamsini ya mishahara yao serikalini.
Hayo yanajiri huku kigogo mwingine aliyesimamishwa kazi TTCL akitarajiwa kusaini donge nono katika kampuni moja ya uzalishaji hapa nchini. Vigogo hao ambao majina yao yanahifadhiwa, wote kwa pamoja wanaendelea kulipwa nusu ya m ishahara yao ya awali pamoja na stahiki nyingine kama kawaida wakati ambapo tayari wameajiriwa ndani ya sekta binafsi.
Aidha kigogo mwingine wa TRA aliyesimamishwa kazi kwa kudaiwa kuhusika na wizi mkubwa wa mapato ndani ya shirika hilo naye ameula ndani ya kampuni moja kubwa ya madini nchini huku mshahara wake ukikadiriwa kufika milioni kumi na tano kwa mwezi!
Kuna haja ya kuliangalia upya swala hili!!!
Kwa hilo nami nakuunga mkono ingawa hatukatai kuwepo na wala rushwa wengi,wavivu na wababaishaji waliozigeuza ofisi za serikali na mashirika ya umma kuwa vijiwe vyao kwenda kujikusanyia hela na sio kutoa huduma kwa walengwa na kwa muda wote wanaolipwa.Mfanya kazi atachelewa kuingia kazini na rafiki atamsainia kwenye register.Akifika ataanza kuchart kwenye simu bila kujali wanaomsubiri kuwapa huduma. Akimaliza hapo ataenda kwenye chai masaa mawili akirudi atawahudumia watu wachache sana anadai muda wa kula umefika. Atawaacha kwenye foleni na huko atatumia masaa mawili akirudi ahudumie wachache tena muda wa kazi umeisha.Sikatai kama ulivyopendekeza nayo serikali ingeanza kwa kuimarisha mifumo na upatikanaji wa mahitaji muhimu katika sehemu za kutolea huduma. Nilimwona jana naibu waziri wa afya akiwasimamisha kazi manesi sita kwa kumwambia mgonjwa akanunue gloves awaletee kwani hazikuwepo hospitalini sasa kumbe wao wangefanyaje. Labda kama zilikuwepo na zikatumika lakini kwa kumuuzia mgonjwa hapo kosa lipo.Wote wanaotumbuliwa sio wote watakaa kimya kuna watakaoitafuta haki yao hata mahakamani ikibidi.Uwezo wa mawakili wa serikali kushinda kesi mahakamani ni mdogo sana. Katika kesi kumi watashinda tatu huku saba zikitupwa na mahakama kwa kukosa ushahidi na uwasilishwaji m-baya. Hapo ndipo serikali itakapolipa fidia kubwa na kwa wengi. Pia kwa sasa inaonekana ni fasheni kwa kila kiongozi kumsimamisha kazi mtendaji na hata ukiwepo uhasama miongoni mwao sio rahisi kutofautisha. SERIKALI INGEFANYA TATHMINI KWA HATUA ILIYOFIKIWA KWANZA NA KUSIKILIZA USHAURI MWINGI WANAOPEWA.