Tetesi: Vigogo waliosimamishwa kazi waajiriwa sekta binafsi, waendelea kupokea mishahara ya serikali

Tuanzie hapa hivi TTCL baada ya kuondoka mama chilipweli kigogo gani mwingine kaondoka ttcl??
 
Mlisema lowassa ana mtandao mkubwa ngoja tuone 2020 yaani hapa tunang'oa miti mizizi mpaka udongo na bado system yote aliyokuwa nayo tunafyeka hamjiulizi kwann mbowe ameanza kukingia kifua majipu na bado
 
Mtoa maada hakuna haja ya kuliangalia upya acha waende huko. Hata wangepata milion 200 kwa mwezi hawatufai wezi hao
 
Utter nonsense! Yaajiriwe au yasiajiriwe ni majizi tu; mahakama ya mafisadi hiyo yaja; tutayafunga tu!
 
Kubenyea style!
 
Sawa. Wanatakiwa wachunguzwe wakiwa wapi? Ndio maana wanawekwa pembeni ili wachunguzwe.
 
Dhana ya kutumbua majipu imekosa mvuto kwakuwa inaangalia zaidi sura za watu na si changamoto za mifumo....

Ndio maana serikali hii imejikita ktk kubadili sura za watu na si mifumo....
Mfumo upi haujaguswa mkuu?
 
Hivi lengo lako mtoa mada ni kutaka tuamini kuwa kutumbua majipu sio sahihi au kuwa Uadilifu ni pamoja na kulipwa mshahara mkubwa?
 
Dhana ya kutumbua majipu imekosa mvuto kwakuwa inaangalia zaidi sura za watu na si changamoto za mifumo....

Ndio maana serikali hii imejikita ktk kubadili sura za watu na si mifumo....

Mfumo maana yake nini na kifanyike kitu gani pendekeza tuelimike
 
Waacheni wapige kazi siku ya jela ikifika wataondokea huko huko
 
Ni sahihi kabisa! Hizo kazi za mamilioni ya shuingi si zilikuwepo tangu zamani mbona hawakuenda tangu zamani?!?!? Unajua kwa nini ?!?!?!Unadhani Private sector wanamchezzo? Wakishakulipa hivyo ndio basi sijui marupurupu mengine na hasa hayo waliyokuwa wanayaiba ( ambayo ndiyo interest yetu( hawatayapata ng'o!
 
kuajiriwa ni geresha tu. hayo ni makampuni yao au ya wabia zao ambapo kwa pamoja washapiga sana hela ya umma. lazima kieleweke ili hatima yao iwe kutupwa lupango na kufilisiwa.
umepiga bull,kama ni kweli,hayo ni makampuni yao. Yalianzishwa kwa ufisadi. Thread yenyewe haina chanzo,majina ya kampuni,walioajiriwa ni nani. Ovyo....
 
Hata hayo makampuni yanayoajiri hawa yanaangaliwa kwa karibu yatumbuliwe
 
Hii tumbua tumbua inatafuta popularity kwenye vyombo vya habari
ILIBIDI SASA TUWAACHE WAENDELEE KUIBA KWASABABU KUWAFUKUZA MAKADA WA UKAWA NI BALAAAAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…