Tetesi: Vigogo waliosimamishwa kazi waajiriwa sekta binafsi, waendelea kupokea mishahara ya serikali

Kutimuliwa katika utumishi wa umma haimaanishi sasa wakafe au hawafai kabisa, wanaweza faa sehemu ingine na sio katika kuwatumikia wananchi wanyonge wa tanzania, wanaweza faa kuwatumikia matajiri na wawekezaji, ila kaatika ofisi za umma hapana.
 
Shwaini kabisa,
Sasa sisi inatuhusu nini wakiula huko unakosema?
Labda ni makampuni yao sisi tutajuaje?
Acheni maigizo acheni sheria zifuatwe na wawajibishwe wakikutwa na hatia!
 
Sasa mshahara wa 2.5M net ndo unaona mkuuubwa? Ww mwalimu nini?

 
Wamesimamishwa na serikali inawalipa nusu mshahara.....? unataka wote tuamini pumba hii? nakushauri hamia facebook, huko utasifiwa kwa kila kitu.
 
ILIBIDI SASA TUWAACHE WAENDELEE KUIBA KWASABABU KUWAFUKUZA MAKADA WA UKAWA NI BALAAAAAAAA

Watanzania wote Kila mmoja ANAJUA KILA KITU, NI MTAALAMU WA KILA KITU, ANAJUA KULIKO MTU YEYOTE YULE DUNIANI, ANAKOSOA KILA KITU, ANALALAMIKA KILA WAKATI................hadi rais wa nchi

Kukosoa ndio SHUGHULI Simple Kuliko Zote DUNIANI.Hakuna Asiyeiweza.
 
UMEITUMIA FURSA VIZURI,...Zungumza, andika chochote ili mradi kisimuathiri mtu,tassisi au jumuiya SASA UNAWEZA KUENDELEA.....
 
Inaonekana wewe mwenyewe ni mmoja wa waliotumbuliwa jipu.
 
sasa we unadhani familia zao zitalishwa na nani lazma wapige kazi maan
 
Dhana ya kutumbua majipu imekosa mvuto kwakuwa inaangalia zaidi sura za watu na si changamoto za mifumo....

Ndio maana serikali hii imejikita ktk kubadili sura za watu na si mifumo....

Kwa hilo nami nakuunga mkono ingawa hatukatai kuwepo na wala rushwa wengi,wavivu na wababaishaji waliozigeuza ofisi za serikali na mashirika ya umma kuwa vijiwe vyao kwenda kujikusanyia hela na sio kutoa huduma kwa walengwa na kwa muda wote wanaolipwa.Mfanya kazi atachelewa kuingia kazini na rafiki atamsainia kwenye register.Akifika ataanza kuchart kwenye simu bila kujali wanaomsubiri kuwapa huduma. Akimaliza hapo ataenda kwenye chai masaa mawili akirudi atawahudumia watu wachache sana anadai muda wa kula umefika. Atawaacha kwenye foleni na huko atatumia masaa mawili akirudi ahudumie wachache tena muda wa kazi umeisha.Sikatai kama ulivyopendekeza nayo serikali ingeanza kwa kuimarisha mifumo na upatikanaji wa mahitaji muhimu katika sehemu za kutolea huduma. Nilimwona jana naibu waziri wa afya akiwasimamisha kazi manesi sita kwa kumwambia mgonjwa akanunue gloves awaletee kwani hazikuwepo hospitalini sasa kumbe wao wangefanyaje. Labda kama zilikuwepo na zikatumika lakini kwa kumuuzia mgonjwa hapo kosa lipo.Wote wanaotumbuliwa sio wote watakaa kimya kuna watakaoitafuta haki yao hata mahakamani ikibidi.Uwezo wa mawakili wa serikali kushinda kesi mahakamani ni mdogo sana. Katika kesi kumi watashinda tatu huku saba zikitupwa na mahakama kwa kukosa ushahidi na uwasilishwaji m-baya. Hapo ndipo serikali itakapolipa fidia kubwa na kwa wengi. Pia kwa sasa inaonekana ni fasheni kwa kila kiongozi kumsimamisha kazi mtendaji na hata ukiwepo uhasama miongoni mwao sio rahisi kutofautisha. SERIKALI INGEFANYA TATHMINI KWA HATUA ILIYOFIKIWA KWANZA NA KUSIKILIZA USHAURI MWINGI WANAOPEWA.
 
Vipi kuhusu muhongo mkuu. Yeye anastahili kuendelea kuwa kiongozi wakati wengine wapo?
 
50% bila kufanya kazi?
 
Wivu katika ubora wake; hawajakutwA na hatia bado
 
G Sam kwa porojo za namna hii unatudhihilishia kuwa wewe ni moja ya watu wapumbavu kabisa kupata kuwepo katika dunia
 
Hapana hapa sheria lazima zizingatiwe inamahaana hawa bado wanatuhumiwa awako huru unawezaje kuwapa Kazi wakati bado wanamakosa
 
Dhana ya kutumbua majipu imekosa mvuto kwakuwa inaangalia zaidi sura za watu na si changamoto za mifumo....

Ndio maana serikali hii imejikita ktk kubadili sura za watu na si mifumo....
Binadamu wengine bwana mnataka mpaka mfanyiwe nini hasa?!!! Huwa napata Hasira Sana na watu kama wewe.
 
Hahaha... Hizo bangi unazovuta ni stimu za kulanduka, kama siyo fani yako utaumbukaaaaaa....
 

Umenena vyema mkuu...
 
Wale wa MSD, wote watarudishwa kazini na hakuna kesi pale zaidi ya ukurupukaji. Na kuna watu wengi tu serikali imekurupuka kuwafanya majipu. Kuna report za CAG, za mwaka jana zipo clean.
MSD tatizo ni yule baby Boss ambaye hadi wale wanatumbuliwa alikuwa hajakabidhiwa ofisi rasmi. Hajiamini, na waziri naye kaingia Kiswahiba na kichwakichwa
MAJIPU MENGI WATAJIPATIA HELA ZA FIDIA TOKA SERIKALINI NA WATANENEPA KWA UKURUPUKAJI HUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…