Vigogo wengi walikuwa na Clinic zao za magonjwa sugu nchi za nje mipaka imefungwa hawana pa kukimbilia tena ndio maana wanateketea

Kwa hiyo tatizo kubwa ni mazoea ya wapi watu wanapata matibabu au ni ukosefu wa matibabu,ili isije kuwa labda watu kuwa ndani ndio sababu kubwa ya wao kukosa kupata matibabu na isije kuwa labda pia kinachosababisha vifo ni matatizo mengine.
 
Kwa marekani tatizo kubwa ni kukosa matibabu wako ghali sana na bima zao za afya in ghali.mno

Sasa watu wako locked down
Lockdown kwa marekani ni nzuri kwa matajiri sio watu Wa kawaida ndio.maana unaambiwa kipindi hiki black Americans ndio wanakufa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…