Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
 
Yaani hapa Rais Samia akiwatumbua hao wote hakika itajulikana kumbe mamlaka ya rais ipo.
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Meneja wa TRA mkoa wa kikodi Kariakoo ataamishwa akifuatiwa na baadhi ya maafisa wa kodi mkoa wa kikodi Kariakoo nao wajiandae kuhamishiwa mikoani
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Haondoki yeyote. Hizi ni kelele za chura tu, kodi lazima walipe watake wasitake
 
5. System Hacker
 
Haondoki yeyote. Hizi ni kelele za chura tu, kodi lazima walipe watake wasitake
Kwasababu wamehusisha viongozi wa biashara Tanzania nzima wamewajengea umoja hivyo zisipochukuliwa hatua kifuatacho sio mgomo wa kariakoo Bali Tanzania nzima
 
Hadi unajiuliza hivi bunge lina umuhimu gani, watu wanasema vitu ambavyo bungeni hakuna anayeweza kuzungumza ayo.

Ingependeza leo vikao vyao wangewekewa screen wakaona ukweli wa hali iliyopo
Kibaya zaidi ndani ya Bunge Kuna wafanyabiashara wengi tu ambao walishiriki kutunga hii Sheria mbovu inayolalamikiwa hivi sasa
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Wote haoo
 
Back
Top Bottom