Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mpika chai wa mama nyumba nyeupe🤣🤣[emoji15][emoji15][emoji15]
Kama vile wewe ndiye mwenye mamlaka hayo....
Haya mkuu Asante [emoji1787]
Hamna kitu na huchi ndo kinachowapa kibri . Kama kipindi cha jpm ungekuta matumbo ni jotoKikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?