Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Alikuepo?? Hajasema Kariakoo ihamie Burundi??Ila Mwigulu ni km adui wa Taifa anaandamwa balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuepo?? Hajasema Kariakoo ihamie Burundi??Ila Mwigulu ni km adui wa Taifa anaandamwa balaa
Haondoki yeyote mzeeKikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
Hakuna wa kuondoka nchi hii ni kulindana wote walamba asaliHaondoki yeyote mzee
[emoji15][emoji15][emoji15]Meneja wa TRA mkoa wa kikodi Kariakoo ataamishwa akifuatiwa na baadhi ya maafisa wa kodi mkoa wa kikodi Kariakoo nao wajiandae kuhamishiwa mikoani
[emoji1787][emoji1787]Kamishna wa TRA anaweza pangiwa kazi nyingie ajiandae kuwa RAS
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Bora hata nafasi ya mwigulu apewe Dr Msukum
Fikiria Rais katamka kodi za miaka kadhaa nyuma hakuna kuzidai, TRA wanasema tupe barua ya rais inayosema hivyo, waziri mkuu anasema tamko la rais halihitaji barua na wafanya biashara hawawezi kuipata. TRA wanasimamia sheria iliyotungwa na Bunge na waziri muu akiwemo! Nani wa kulaumiwa?Ila Mwigulu ni km adui wa Taifa anaandamwa balaa
Dah.....kanisaidie ku edit mzee. We si mode?!Vigogoni? Kwali wasomi n wengi nchi hii.
Asante
R.o.m.a mkatolik zamani kidogo aliwai kuimba kwenye wimbo wa Viva.............Hadi unajiuliza hivi bunge lina umuhimu gani, watu wanasema vitu ambavyo bungeni hakuna anayeweza kuzungumza ayo.
Ingependeza leo vikao vyao wangewekewa screen wakaona ukweli wa hali iliyopo
Tanzania bunge halina umuhimu. Ni mhuri unaotumika na ma godfather kulamba asaliHadi unajiuliza hivi bunge lina umuhimu gani, watu wanasema vitu ambavyo bungeni hakuna anayeweza kuzungumza ayo.
Ingependeza leo vikao vyao wangewekewa screen wakaona ukweli wa hali iliyopo
Wa factory & business?Imekaa vibaya sana kwa namba 2 hasa alipotoa yale majibu pale mjengoni.
Kwaio ndo kusema mwigulu yupo kundi Moja na maadui wa Taifa???? 🇹🇿🇹🇿Ila Mwigulu ni km adui wa Taifa anaandamwa balaa
Dah hii inchi ngumu sana mzeeKwaio ndo kusema mwigulu yupo kundi Moja na maadui wa Taifa???? 🇹🇿🇹🇿
Tangu uhuru ambao ni....
1.Ujinga
2.umaskini
3.maradhi
4......
Labda hao Mameneja wa TRA maana ndio wanaochukua Rushwa nk..Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
Si lazima kuondoka, ni kazima kuangalia mfumo wa tozo/kodi..Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
Unawajua wanasiasa vizuri? Hawafanyi maamuzi kwa msukumo wa logic bali kwa kuendana na upepo wa wapiga kuraLabda hao Mameneja wa TRA maana ndio wanaochukua Rushwa nk..
Kwa mfano Waziri Kijaji aoneoke Kwa sababu Alisema hakuna mgomo Kariakoo au?
Mwigulu aondoke Kwa sababu wafanyabiashara wamesema anawapa kiburi TRA au?
CG wa TRA nae hawezi Kuondoka isipokuwa hapo ni TRA kubadili mbinu au approach za kukusanya Kodi na mahusiano na wafanyabiashara..
Huwezi endesha Nchi kienyeji hivyo,kama ni Changamoto zipo Kila mahala wanafanya kazi ni binadamu sio malaika so waliofanya uhuni ndio washughulikiwe.