system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Yaani hapa Rais Samia akiwatumbua hao wote hakika itajulikana kumbe mamlaka ya rais ipo.Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
Hapohapo1. Waziri wa Fedha?
Meneja wa TRA mkoa wa kikodi Kariakoo ataamishwa akifuatiwa na baadhi ya maafisa wa kodi mkoa wa kikodi Kariakoo nao wajiandae kuhamishiwa mikoaniKikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
Haondoki yeyote. Hizi ni kelele za chura tu, kodi lazima walipe watake wasitakeKikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
5. System HackerKikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
Walipe kodi.Haondoki yeyote. Hizi ni kelele za chura tu, kodi lazima walipe watake wasitake
Kwasababu wamehusisha viongozi wa biashara Tanzania nzima wamewajengea umoja hivyo zisipochukuliwa hatua kifuatacho sio mgomo wa kariakoo Bali Tanzania nzimaHaondoki yeyote. Hizi ni kelele za chura tu, kodi lazima walipe watake wasitake
Kibaya zaidi ndani ya Bunge Kuna wafanyabiashara wengi tu ambao walishiriki kutunga hii Sheria mbovu inayolalamikiwa hivi sasaHadi unajiuliza hivi bunge lina umuhimu gani, watu wanasema vitu ambavyo bungeni hakuna anayeweza kuzungumza ayo.
Ingependeza leo vikao vyao wangewekewa screen wakaona ukweli wa hali iliyopo
DuuuuuKafara itakuwa kwa Manager wa TRA
HahahahahWana ogopana, atatafutwa mbwa mdogo kwa ajili ya kafala
Mwanangu ndo napasha niingie sio kutoka5. System Hacker
Wote haooKikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?