Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Huu mkutano uko staged vichwa vya watu viliwe.
Mwigulu akipona akatoe shukrani.
CG naye ananing,inia
 
Kama Mkuu wa mkoa ameondoka ni vyema aambatane na msaidizi wake kwenye eneo hilo lilipo soko.
Mkuu wa wilaya anabaki vipi hapo?
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Namba nne analia peke yake na wale mapolisi,yule mpemba na yule mweusi,wengine shangwe tu
 
Hadi unajiuliza hivi bunge lina umuhimu gani, watu wanasema vitu ambavyo bungeni hakuna anayeweza kuzungumza ayo.

Ingependeza leo vikao vyao wangewekewa screen wakaona ukweli wa hali iliyopo
Imagine huyo mfanyaboashara alivyoeleza namna ya kupata Kodi kwenye secta ya usafiri badala ya kuyabana malori
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Hakuna wa kuondoka
Rimoti ipo Msoga
 
Bora hata nafasi ya mwigulu apewe Dr Msukum
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Sahau kabisa hizo habari za Mwigullu kuguswa.
Wafanyabiashara wamegoma sababu ya TRA na makodi yao ya ajabu, matokeo yake kaishia kumhamisha mkuu wa mkoa.
Tulisha waambieni, hilo baraza ni kubwa kuliko rais, kuna watu ili kuwagusa inambidi aombe ruhusa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…