Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

Hakuna wa kuondoka hapo wataambiwa tu "Stupid" na pengine hayo malalamiko wakayatazame!
 
Akiondoka yeyote mniite mbwa. Niko pale.
 
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.

Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?

1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?

Nani ataondoka?
Hamna kitu na huchi ndo kinachowapa kibri . Kama kipindi cha jpm ungekuta matumbo ni joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…