Hahahaaaa daa nilikuwa silipendi hili balaaaAfadhari ya hayo kuliko yale sijui UMRI WA BIBI NI MARA TATU UMRI WA BABU NA MJUKUU ANA MIAKA SITA TAFUTA UMRI WA MDOGO WAKE yaani tabu tupu... hapa ndo mtu utamsikia SIO KAMA KUJIBU SIWEZI ILA KUFATILIA MAISHA YA WATU SIPENDI huku anakusanya
Inawezekana kabisa ndege kutoka Mwanza ilikuwa ikizungukia chato kwenda Dar es Salaam. Ndio maana masaa yalikuwa yanaongezeka.Hapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji13] [emoji13] au labda angani walizima traffic light na kumweka traffic police kama vile tazara[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Inawezekana kabisa ndege kutoka Mwanza ilikuwa ikizungukia chato kwenda Dar es Salaam. Ndio maana masaa yalikuwa yanaongezeka.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
SijakuelewaAsante kwa kuniachia Gaddaf
[emoji1] [emoji1] aisee kweli jina lako linaendana na Yale matendo yakoKwenye hesabu na English. Nilikuwa natafuta answer sheet mpya najaza majibu sahihi nampa rafiki yangu Abdu abas anisahihishie.
Nimpelekee mshua.
Nilikuja kuumbuka kwenye kikao cha wazazi.majibu yalibandikwa ukutani.hesabu Nina 15,
Baba nimempelekea 45.
Mkuu namba ni habari nyingineAfadhari ya hayo kuliko yale sijui UMRI WA BIBI NI MARA TATU UMRI WA BABU NA MJUKUU ANA MIAKA SITA TAFUTA UMRI WA MDOGO WAKE yaani tabu tupu... hapa ndo mtu utamsikia SIO KAMA KUJIBU SIWEZI ILA KUFATILIA MAISHA YA WATU SIPENDI huku anakusanya
Hapo mkuu ukihisi maji yamekufika shingoni,basi shingo haitulii,kila Mara kuangaza pengine msaada waweza tokea kwa mtu wa jiraniHahahaaaa bora hata nimefungua jf nimetabasamu kidogo. Maana huku Cambodia kuna M-cambodia kaniudhiiii na isingekuwa ni nchini kwao ningekuwa jela.
Kwakweli me nilikuwa naanza kuchanganyikiwa swali la 8,aisee yanakuwa magumuuuu.Utakuta unarudi kwenye tuswali twa kwanza unajifanya unahakiki majibu.
Hapo Na njia unaonesha,msingi rahaaa
Itakuwa ilikwama Foleni za mataa ya chato[emoji13] [emoji13] au labda angani walizima traffic light na kumweka traffic police kama vile tazara[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Unasema halijawahi kukusaidia?! Je vp thamani ya x umeshaijua?[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38]Ukiangalia hili swali halijawahi nisaidia katika maisha yangu
Ah thamani ya X inamaana nyingi mkuu, X ipi sasa maana zote nimekutana NazoUnasema halijawahi kukusaidia?! Je vp thamani ya x umeshaijua?[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38]
X = vyuma[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
huyu jamaa kakosea kutunga swali,hapo baba john ni kiben10 zaidi ya john....[emoji2][emoji2][emoji2]
Siku hyo nilikuwa mpolee.Mshua anamuuliza mwalimu mbona huyu mtoto uwa ananiletea mitihani amepata hesabu 45/50[emoji1] [emoji1] aisee kweli jina lako linaendana na Yale matendo yako
Sahihi. Lakini inaonesha mama John alitembea na kiben10 ndio akazaliwa John[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]huyu jamaa kakosea kutunga swali,hapo baba john ni kiben10 zaidi ya john....[emoji2][emoji2][emoji2]