Vihoja vya mitihani ya Shule ya msingi.

Vihoja vya mitihani ya Shule ya msingi.

Hahahaaaa bora hata nimefungua jf nimetabasamu kidogo. Maana huku Cambodia kuna M-cambodia kaniudhiiii na isingekuwa ni nchini kwao ningekuwa jela.

Kwakweli me nilikuwa naanza kuchanganyikiwa swali la 8,aisee yanakuwa magumuuuu.Utakuta unarudi kwenye tuswali twa kwanza unajifanya unahakiki majibu.
Hapo Na njia unaonesha,msingi rahaaa
 
Afadhari ya hayo kuliko yale sijui UMRI WA BIBI NI MARA TATU UMRI WA BABU NA MJUKUU ANA MIAKA SITA TAFUTA UMRI WA MDOGO WAKE yaani tabu tupu... hapa ndo mtu utamsikia SIO KAMA KUJIBU SIWEZI ILA KUFATILIA MAISHA YA WATU SIPENDI huku anakusanya
Hahahaaaa daa nilikuwa silipendi hili balaaa
 
Hapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Inawezekana kabisa ndege kutoka Mwanza ilikuwa ikizungukia chato kwenda Dar es Salaam. Ndio maana masaa yalikuwa yanaongezeka.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji13] [emoji13] au labda angani walizima traffic light na kumweka traffic police kama vile tazara[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hapa kila mtu ni muhanga yaani usiulize, kuna swali moja niliwahi kuulizwa [emoji13] [emoji13] swali liko hv. "Kwanini ndege kutoka Dar kwenda Mwanza inatumia masaa ma3 lakini kutoka Mwanza kwenda Dar inatumia masaa manne" mi nikajibu "Kutoka Dar kwenda mikoani hakuna foleni lakini kutoka mikoani kuingia Dar kuna foleni, mfano mzuri pale Ubungo"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwenye hesabu na English. Nilikuwa natafuta answer sheet mpya najaza majibu sahihi nampa rafiki yangu Abdu abas anisahihishie.
Nimpelekee mshua.
Nilikuja kuumbuka kwenye kikao cha wazazi.majibu yalibandikwa ukutani.hesabu Nina 15,
Baba nimempelekea 45.
[emoji1] [emoji1] aisee kweli jina lako linaendana na Yale matendo yako
 
Afadhari ya hayo kuliko yale sijui UMRI WA BIBI NI MARA TATU UMRI WA BABU NA MJUKUU ANA MIAKA SITA TAFUTA UMRI WA MDOGO WAKE yaani tabu tupu... hapa ndo mtu utamsikia SIO KAMA KUJIBU SIWEZI ILA KUFATILIA MAISHA YA WATU SIPENDI huku anakusanya
Mkuu namba ni habari nyingine
 
Hahahaaaa bora hata nimefungua jf nimetabasamu kidogo. Maana huku Cambodia kuna M-cambodia kaniudhiiii na isingekuwa ni nchini kwao ningekuwa jela.

Kwakweli me nilikuwa naanza kuchanganyikiwa swali la 8,aisee yanakuwa magumuuuu.Utakuta unarudi kwenye tuswali twa kwanza unajifanya unahakiki majibu.
Hapo Na njia unaonesha,msingi rahaaa
Hapo mkuu ukihisi maji yamekufika shingoni,basi shingo haitulii,kila Mara kuangaza pengine msaada waweza tokea kwa mtu wa jirani
 
[emoji13] [emoji13] au labda angani walizima traffic light na kumweka traffic police kama vile tazara[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Itakuwa ilikwama Foleni za mataa ya chato
 
[emoji16][emoji16][emoji16]jaman hizo zingine nilikuwa nakosa zotee loh staki hata kukumbuka hasahasa za maumbo ndo nilikuwa sizipendi
 
Ukiangalia hili swali halijawahi nisaidia katika maisha yangu
Unasema halijawahi kukusaidia?! Je vp thamani ya x umeshaijua?[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38]
X = vyuma[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ah thamani ya X inamaana nyingi mkuu, X ipi sasa maana zote nimekutana Nazo
X=penzi lililokufa
X=Mahabati
X=bomoa bomoa
 
39c81e732c044f962cef0600058f8488.jpg
huyu jamaa kakosea kutunga swali,hapo baba john ni kiben10 zaidi ya john....[emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji1] [emoji1] aisee kweli jina lako linaendana na Yale matendo yako
Siku hyo nilikuwa mpolee.Mshua anamuuliza mwalimu mbona huyu mtoto uwa ananiletea mitihani amepata hesabu 45/50
Inakuwaje kwenye ubao ana 15.mwalimu anashangaa tu.
 
huyu jamaa kakosea kutunga swali,hapo baba john ni kiben10 zaidi ya john....[emoji2][emoji2][emoji2]
Sahihi. Lakini inaonesha mama John alitembea na kiben10 ndio akazaliwa John[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom