Vijana 10 wa JKT Msata kufariki wakiwa kambini wa kuwajibika wawajibike tu

Vijana 10 wa JKT Msata kufariki wakiwa kambini wa kuwajibika wawajibike tu

Mronje

New Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
4
Reaction score
21


Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe.

1. Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha
 
Askari hawatakiwi kula vyakula bila kuchukua tahadhari hasahasa kutoka kwa raia wasiowafahamu vizuri.

Poleni sana wapiganaji na walinzi wa taifa.
 
Syria kasaidiwa na china kuiripua kambi ya USA na USA kaujua mchezo kaamua kumpiga biological weapon VIRUS siku ya mwaka mpya wa kichina(wachina wengi hurudi kwao kusherekea sikukuu hii)
Mambo yanayotokea kambini yanaishia kambini,usishangae Trump kusema "All is well" wakati moyoni ukweli ana ujua.

So kila linalotokea kambini basi mna haki wa kulijua,kumbukeni shambulio la juzi la Iran ktk kambi ya US Iraq.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msata a.k.a kihangaiko ni kambi ambayo ipo ukanda wa jua kali sana nahisi kozi ilikuwa kali mno kupelekea kufariki kwa recruits pia kukimbizwa LUGALO ni mbali mno
JWTZ wamekuwa na mafunzo toka 1966 afu mwaka huu ndio vifo vitokanane na mazoezi? Tuaminiane. Itakuwa kuna kitu wamekula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msata a.k.a kihangaiko ni kambi ambayo ipo ukanda wa jua kali sana nahisi kozi ilikuwa kali mno kupelekea kufariki kwa recruits pia kukimbizwa LUGALO ni mbali mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli, usikalil mzee. Angalia hali ya hewa boss ya sasa sio jua. Nahisi kuna kauogonjwa na mvua hizi, maana kutapik, kuharisha si dalil njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hili jambo nadhani lilikuwa na mpango wa kufichwa, mbona tangazo la kwanza limekuwa ni like LA raisi ambalo halikuwa rasmi bali kama rambirambi tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengine yabaki siri yao kama budget zao
Hayo ni mambo ya usalama
 
Back
Top Bottom