KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Niunganishie mkuu!Naomba kujua km ni lazima kumpeleka JKT mtoto mhitimu wa ACSEE? Nini kitamcost? Kuna mdogo wng bint nataka asiende huko akimaliza ACSEE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niunganishie mkuu!Naomba kujua km ni lazima kumpeleka JKT mtoto mhitimu wa ACSEE? Nini kitamcost? Kuna mdogo wng bint nataka asiende huko akimaliza ACSEE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vizuri. Sijui kama wengi wanaelewa vita vya namna hii.
Ni jeshi la nchi gani hilo ambalo halina mafunzo heavy?Mronje, Jeshi liache mambo ya kizamani litoe mafunzo ya kisayansi..!
Siku zote huwa nashangaa jeshi kujivunia adhabu na mazoezi ya suruba ebooh..!
Sasa hivi majeshi yalishahamia vita ya kiteknolojia hasa matumizi ya zana za kidigital na mazoezi ya ukakamavu wa kawaida. Tubadirike jamani dunia inakimbia mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio umeongea kiitaalamu.Uwazitu, Maji babu kunywa Ni issue kumbuka Figo inatumia kias gani Cha maji kwa lisaa kufanya Kaz yake? Na pale Ni jua Sana na linapiga Sana
kilicho akilini kitumie
Bora asiende tu, na hataathirika kwa lolote. Kulazimishana kwenda JKT kwa Mujibu ni upuuzi mtupu afadhali hata wangefanya iwe lazima kwenda VETA au Vocational Training yoyote baada ya ACSEE. Huko VETA wahitimu watajifunza trades mbalimbali na zitawasaidia kujiajiri baadae badala ya kupigishwa push-ups na mazoezi mengine ya kifo huko JKT ambayo hayawasaidii kujiajiri.Naomba kujua km ni lazima kumpeleka JKT mtoto mhitimu wa ACSEE? Nini kitamcost? Kuna mdogo wng bint nataka asiende huko akimaliza ACSEE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa chakula huko au sio😂😂😂Bora asiende tu, na hataathirika kwa lolote. Kulazimishana kwenda JKT kwa Mujibu ni upuuzi mtupu afadhali hata wangefanya iwe lazima kwenda VETA au Vocational Training yoyote baada ya ACSEE. Huko VETA wahitimu watajifunza trades mbalimbali na zitawasaidia kujiajiri baadae badala ya kupigishwa push-ups na mazoezi mengine ya kifo huko JKT ambayo hayawasaidii kujiajiri.
Na samahani kwa hili: Jeshini kuna udhalilishaji mkubwa kwa mabinti, na kwa vyovyote vile dada'ako mdogo atat**bwa sana huko jeshini. Mpeleke ili akadhalilishwa kingono au usimpeleke huko umnusuru.
Nikisha sema pole hapa kwenye mtandao marehemu wanafufuka au. Mimi napinga tabia ya watu kusubiria watu wafe wao wanaanza kutafuta umaarufu kwa kuonyesha wana huruma sana.Ungeanza angalau hata kuwapa pole wafiwa. Naona umechukulia kifo kama ni kitu cha kawaida sana. Emmanuel Robinson,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe.
Ndani ya mwezi mmoja tu kambi hizi zimeguswa kisawasawa.
1. Mafuriko 21
2. Dini 20
3. JWTZ 10
4. Polisi 4
Hizi kambi zilisahaulika kidogo naona Izraeli alikuwa kambini kwa wana habari na wana siasa naona kahamisha kambi.
Ndo hivyo. Kule mtoto wa kike kukataa approach ya Mkufunzi ni vigumu sana, akubali maisha yasonge au akatae ale msoto mkali.Atakuwa chakula huko au sio😂😂😂
Nimepita huko naelewa sana...tumewekwa sana kuwa walinzi wakati majamaa wanapiga show kwenye maanga dah wanakwambia dogo usiruhusu mtu aingie huku...😂😂😂afu nyie mnagaragazwa wee ila kuna mamanzi kila siku mnawaona wasaaafiii afu walivyo wapumbavu wanaongea kabisa wenyewe kuwa wanatoka na kina nani😂yale maisha sitayasahau..Ndo hivyo. Kule mtoto wa kike kukataa approach ya Mkufunzi ni vigumu sana, akubali maisha yasonge au akatae ale msoto mkali.
Kiufupi, almost 99% ya wale Wajeda wa kike unaowaona walishagawa papuchi sana wakati wa training, bila hiari yao.
Waache watujengee vijana shupavu wa kutulinda... Phydically.Tatizo la ugonjwa wa Figo kwenye kambi ya Kihangaiko lipo Sana,
Vijana mara nyingi wanashindwa kuendelea na kozi Monduli kwa sababu ya matatizo ya figo, wakati wanaanza mafunzo hupimwa na hawaonekani kuwa na matatizo ya figo.
Kuna tatizo linalofanya vijana kupata tatizo la figo.
Uchunguzi wa kina ufanyike. Kama mazoezi ya ukakamavu ni magumu kuzidi, yarekebishwe.
Majibu mepesi hayatasaidia.
Atleast wewe umeona sollution.Mronje, Jeshi liache mambo ya kizamani litoe mafunzo ya kisayansi..!
Siku zote huwa nashangaa jeshi kujivunia adhabu na mazoezi ya suruba ebooh..!
Sasa hivi majeshi yalishahamia vita ya kiteknolojia hasa matumizi ya zana za kidigital na mazoezi ya ukakamavu wa kawaida. Tubadirike jamani dunia inakimbia mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka na Kenya basMi ngoja nihesabu kwanza....
Juzi moshi 20
Jana wajeda 10
Jana Njombe mapolisi 3.
Ngoja niendele kuhesabu. Regarding this year I ' will come with my observation later.
Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe.
Ndo maana sikuipenda hii kazi. Maishani mwangu nachukia kuonewa bitterly, sipendi kabisa.Hizi kazi hizi unapigwa adhabu hata kama huna kosa eti ni lufundishana nidhamu.
Mimi pia nilipita kule kwa Mujibu na baada ya pale niliapa sitaruhusu binti yangu ajiunge na jeshi, na huo ndo umekuwa msimamo wangu hadi leo. Kuna binti yangu 2 alijaribu kuapply jeshini baada ya Diploma yake Fisheries nilimdiscourage kwenda huko hadi akaahirisha.Nimepita huko naelewa sana...tumewekwa sana kuwa walinzi wakati majamaa wanapiga show kwenye maanga dah wanakwambia dogo usiruhusu mtu aingie huku...😂😂😂afu nyie mnagaragazwa wee ila kuna mamanzi kila siku mnawaona wasaaafiii afu walivyo wapumbavu wanaongea kabisa wenyewe kuwa wanatoka na kina nani😂yale maisha sitayasahau..