Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuriko lindi 23Mi ngoja nihesabu kwanza....
Juzi moshi 20
Jana wajeda 10
Jana Nkombe mapolisi 3.
Ngoja niendele kuhesabu. Regarding this year I ' will with my observation later.
Noted.. Tutajumlisha badae...
JWTZ wamekuwa na mafunzo toka 1966 afu mwaka huu ndio vifo vitokanane na mazoezi? Tuaminiane. Itakuwa kuna kitu wamekula.
Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe..
nani anawapa sumu jeshini?Kutapika,kuharisha.Labda walikula sumu. Mungu awapumnzishe kwa amani. Pole kwa familia zao.
Uchunguzi huru, kwani hii ni kampuni ya mkonge?
Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe..
Lindi...mafuriko wamekufa 20, wajeshi 10, moshi 20, ajali em3 mapema mwaka huu
Uchunguzi huru, kwani hii ni kampuni ya mkonge?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Yaani likitokea tatizo kama hilo hatutakiwi kuhoji? huoni kwa kuhoji kutasaidia kuondoa tatizo jingine km hilo mbele ya safari, kwasababu wahusika watachukua hatua stahiki!Siyo lazima tujue kila kitu. Hata hivyo wamekwisha kufa hata tukihoji sana hawawezi rudi. Kule moshi mbona tumejua chanzo je wamerudi. Itoshe tu kujua kuwa wamefariki hayo mengine tuwaachie wao wanaohusika na usalama.
Kuna mambo ya kijinga nayaona hapa eti wapeleke watalaam kuwatrain ili wawatumie kisha wawaue! Kweli hebu tuwe serious kidogo. Mwingine anasema eti wamezidishiwa mazoezi! Kwamba wakufunzi wetu ni mbumbumbu kiasi hawajui hata standard ya mazoezi. Hapana hebu tuendelee kuwaheshimu watalaam wa taifa hili na kuwapa heshima wanayositahili.
Hata usipohoji wao wanajua namna ya kuchukua hatua. Mbona vifo 20 vya huko lindi hujahoji?Yaani likitokea tatizo kama hilo hatutakiwi kuhoji? huoni kwa kuhoji kutasaidia kuondoa tatizo jingine km hilo mbele ya safari, kwasababu wahusika watachukua hatua stahiki!
Haiwezekani kuwaacha tu, wataendeleaa kufanya mambo kwa mazoea na kusababisha maafa mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe..
Atawamaliza kwa imani potofu, huu mwaka wa uchaguziMi ngoja nihesabu kwanza....
Juzi moshi 20
Jana wajeda 10
Jana Njombe mapolisi 3.
Ngoja niendele kuhesabu. Regarding this year I ' will come with my observation later.
Unaifahamu vizuri Msata ilipo?Msata a.k.a kihangaiko ni kambi ambayo ipo ukanda wa jua kali sana nahisi kozi ilikuwa kali mno kupelekea kufariki kwa recruits pia kukimbizwa LUGALO ni mbali mno
Sent using Jamii Forums mobile app