Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Thats why hii taarifa ilitakiwa kuwa classified...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa,kuumia na kupata ukilema kabisa Ni kawaida ila si kwa idad hyo kubwa Sana haimaanish kuwa mafunzo Ni magumu Bali Kuna kitu nyuma ya pazia maana ya jandoni huishia jandoniJWTZ wamekuwa na mafunzo toka 1966 afu mwaka huu ndio vifo vitokanane na mazoezi? Tuaminiane. Itakuwa kuna kitu wamekula.
Hakuna ukali wa koz watu kumi Tena wakiwa wanatembea na Sio cross country 72km kukimbia nadhan Kuna tatizo sehemuMsata a.k.a kihangaiko ni kambi ambayo ipo ukanda wa jua kali sana nahisi kozi ilikuwa kali mno kupelekea kufariki kwa recruits pia kukimbizwa LUGALO ni mbali mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima tujue kila kitu. Hata hivyo wamekwisha kufa hata tukihoji sana hawawezi rudi. Kule moshi mbona tumejua chanzo je wamerudi. Itoshe tu kujua kuwa wamefariki hayo mengine tuwaachie wao wanaohusika na usalama.
Kuna mambo ya kijinga nayaona hapa eti wapeleke watalaam kuwatrain ili wawatumie kisha wawaue! Kweli hebu tuwe serious kidogo. Mwingine anasema eti wamezidishiwa mazoezi! Kwamba wakufunzi wetu ni mbumbumbu kiasi hawajui hata standard ya mazoezi. Hapana hebu tuendelee kuwaheshimu watalaam wa taifa hili na kuwapa heshima wanayositahili.
Hakuna ukali wa koz watu kumi Tena wakiwa wanatembea na Sio cross country 72km kukimbia nadhan Kuna tatizo sehemu
kilicho akilini kitumie
Askari hawatakiwi kula vyakula bila kuchukua tahadhari hasahasa kutoka kwa raia wasiowafahamu vizuri.
Poleni sana wapiganaji na walinzi wa taifa.
Hata km wanajua namna ya kuchukua hatua kuhoji ni LAZIMA, huko Lindi unataka niyaulumu mafuriko au mvua zilizonyesha?!Hata usipohoji wao wanajua namna ya kuchukua hatua. Mbona vifo 20 vya huko lindi hujahoji?
ukisema watu hatutakiwi kujua kilichotokea utakuwa unakosea. Watu kumi kufariki bila kujulikana chanzo alafu unasema tukae kimya si sahihi.Siyo lazima tujue kila kitu. Hata hivyo wamekwisha kufa hata tukihoji sana hawawezi rudi. Kule moshi mbona tumejua chanzo je wamerudi. Itoshe tu kujua kuwa wamefariki hayo mengine tuwaachie wao wanaohusika na usalama.
Kuna mambo ya kijinga nayaona hapa eti wapeleke watalaam kuwatrain ili wawatumie kisha wawaue! Kweli hebu tuwe serious kidogo. Mwingine anasema eti wamezidishiwa mazoezi! Kwamba wakufunzi wetu ni mbumbumbu kiasi hawajui hata standard ya mazoezi. Hapana hebu tuendelee kuwaheshimu watalaam wa taifa hili na kuwapa heshima wanayositahili.
Uko vizuri. Sijui kama wengi wanaelewa vita vya namna hii.Syria kasaidiwa na china kuiripua kambi ya USA na USA kaujua mchezo kaamua kumpiga biological weapon VIRUS siku ya mwaka mpya wa kichina(wachina wengi hurudi kwao kusherekea sikukuu hii)
Sent using Jamii Forums mobile app