Mambo yanayotokea kambini yanaishia kambini,usishangae Trump kusema "All is well" wakati moyoni ukweli ana ujua.
So kila linalotokea kambini basi mna haki wa kulijua,kumbukeni shambulio la juzi la Iran ktk kambi ya US Iraq.
JWTZ wamekuwa na mafunzo toka 1966 afu mwaka huu ndio vifo vitokanane na mazoezi? Tuaminiane. Itakuwa kuna kitu wamekula.
Si kweli, usikalil mzee. Angalia hali ya hewa boss ya sasa sio jua. Nahisi kuna kauogonjwa na mvua hizi, maana kutapik, kuharisha si dalil njemaMsata a.k.a kihangaiko ni kambi ambayo ipo ukanda wa jua kali sana nahisi kozi ilikuwa kali mno kupelekea kufariki kwa recruits pia kukimbizwa LUGALO ni mbali mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu ndio wameanza kusema ukweli kuna mwaka mmoja 821 kj walidanja madogo 23 ila usiri ukatawalaJWTZ wamekuwa na mafunzo toka 1966 afu mwaka huu ndio vifo vitokanane na mazoezi? Tuaminiane. Itakuwa kuna kitu wamekula.
Acha uzushi mkuu.Mwaka huu ndio wameanza kusema ukweli kuna mwaka mmoja 821 kj walidanja madogo 23 ila usiri ukatawala
Tuwe makini tunapoleta takwimu za kuokoteza.