US navy seal hawana mazoezi ya namna hiyo ya kuua, wale yamekaa kisanmyansi sana. Mimi sio mwanajeshi na wala sitaki kusema sana kwemnye maswal ya jeshi lakini nashangaa sana wanajeshi wa Afrika wanapiga mazoezi sana wakati wa mafunzo na wanaiva kweli kweli lakini wakikaa kazini 2 to 3 yrs hivyo vitambi vinafuta yoote waliyijifunza kiasi kwamba hawesi kukimbia 200metres bila kupumzika.Ni jeshi la nchi gani hilo ambalo halina mafunzo heavy?
Unawajua seal ya marekani?
Walinde wanao kwani kazi ni jeshi tu.Mimi pia nilipita kule kwa Mujibu na baada ya pale niliapa sitaruhusu binti yangu ajiunge na jeshi, na huo ndo umekuwa msimamo wangu hadi leo. Kuna binti yangu 2 alijaribu kuapply jeshini baada ya Diploma yake Fisheries nilimdiscourage kwenda huko hadi akaahirisha.
Sisemi kwamba binti zangu ni watakatifu, hapana. Ila sipendi wakanyanyaswe kingono huko kwenye 'chenja', inawezekana hata huku uraini ni wafuska lakini bora wafanye hivyo at free will. Jeshini one can hardly exercise her free will.
Na ndo maana nawaguide na kuwacounsel watafute career path nyinginezo na siyo huo upuuzi unaoitwa jeshi.Walinde wanao kwani kazi ni jeshi tu.
Hiki ndicho anachotuaminishaNaona mtoa mada anapotaka kuingiza hoja zake kwenye mambo ya kijeshi.
Tukubaliane kutofautiana kwenye eneo hili @least: hawa ni wanajeshiWaliofariki ni raia na wala siyo waajiriwa wa jeshi
Mwaka 1990 nilikuwa JKT Oljoro, Operesheni Nidhamu. Siku ya kwanza kwenda route march kuanzia kule CTS kukatiza duka mbovu, Laroi, Nadosoito hadi FFU na kurudi tulichoka sana, njiani tukatafuta upenyo kuomba maji ya kunywa kwa wamasai, maji unapewa kwenye kibuyu hayaonekani unagida tu harufu unaisikia baadae ukishakata kiu, na hakuna aliyeuliza yalichotwa wapi. Bahati nzuri sisi hatukuugua, lakini kama yangekuwa na vimelea vikali vya magonjwa tungeugua. Nahisi hao vijana wamekutana na changamoto kama hiyo.
Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe.
1. Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha
Kuna koz ndani ya jeshi ningumu sana. Na zinakuwa top secret 🔐 ukishindwa wafa kabla yakurudi kuja simulia kilichokukuta. Hizi koz huwaanda watu maalumu kwa kaz maalumu. Niwatu wanakuwa wanadam ila wanatofati na wanadam na sio koz zakwenda au kumuingiz mtu bila kufuwata utaratibu atakufa tu. Kama kuna siri na ktk hilo zoez siri hiyo haitakiwi kuvuja ikavuka hiyo uniti mnakufa wote. Kama mliambiwa msile nyie mkala my friend mnakufa wote. So guys hakuna wakulaumu japo mambo yalio tokea yatabaki kuwa siri na watakao kuwa niwale watakao endahiyo koz only nawao hawatorud kusimulia milele. Hilo ndio jeshi.
Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe.
1. Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha
Wamekutana na wale maafande(wakara Kara) majeshi kunoga halafu na ile hali ya hewa ya kuwa mbaya ndio shidaMsata a.k.a kihangaiko ni kambi ambayo ipo ukanda wa jua kali sana nahisi kozi ilikuwa kali mno kupelekea kufariki kwa recruits pia kukimbizwa LUGALO ni mbali mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlete tumfundishe uzalendo na ukakamavu ila usisahau picture yake pmNaomba kujua km ni lazima kumpeleka JKT mtoto mhitimu wa ACSEE? Nini kitamcost? Kuna mdogo wng bint nataka asiende huko akimaliza ACSEE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Popoma mnakunaku na mfukunyukuMazoezi Magumu ( ya Ukakamavu ) yakipunguzwa halafu Tanzania ikaja Kupigwa Kiurahisi na Israel ya Afrika ( nchi ya Rwanda ) mtasemaje au mtamueleza nini Amri Jeshi Mkuu wenu?