Vijana 132 wakamatwa Kibaha wakijihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa ni utapeli

Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa wanajihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa kuwa ni ya kitapeli.

Biashara hii inadaiwa kufanyika kwa usiri mkubwa chini ya kampuni ya QI Group of Company yenye makao makuu nchini Malaysia.

Tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia Februari 15, majira ya saa tatu usiku hadi saa saba, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Salim Morcase, akiwa na maafisa wa polisi walifanya msako wa ghafla na kuwakuta vijana hao pamoja na viongozi wao katika nyumba tatu tofauti.

Morcase alibainisha kuwa mafanikio ya kukamatwa kwa vijana hao ni kutokana na taarifa za kiintelijensia, ambazo zilionesha kuwa wanajishughulisha na shughuli zinazovunja sheria na zinazotishia usalama.

Aliongeza kuwa baadhi ya viongozi wa mtandao huo wamekamatwa na watafikishwa kwenye mahojiano na uchunguzi zaidi, na kwamba taratibu za kisheria zitachukuliwa.

Baadhi ya vijana waliokamatwa walieleza kuwa walivutiwa na ahadi ya ajira mtandaoni baada ya kushawishiwa na wenzao.

Baadhi ya mikoa wanayotoka vijana hao ni pamoja na Mikoa Mbeya,Songwe, Ruvuma ,Songea, Tabora,Singida ,Kilimanjaro. Katavi,Mtwara , Dodoma . Kigoma , Mwanza, Manyara. na Arusha

View attachment 3237197
Kila wakiambia "limeni" hawasikii
 
Nilijua tu lazima mikoa ya wasukuma itakuwepo.
 
Sasa naanza kuelewa kwa nini Mwarabu na Mzungu walipenda sana kutumia mikwaju kwa mtu mweusi.Hao kwanza walitakiwa wale mikwaju sitasita ndio mambo mengine yaendelee.
 
Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa wanajihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa kuwa ni ya kitapeli.

Biashara hii inadaiwa kufanyika kwa usiri mkubwa chini ya kampuni ya QI Group of Company yenye makao makuu nchini Malaysia.

Tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia Februari 15, majira ya saa tatu usiku hadi saa saba, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Salim Morcase, akiwa na maafisa wa polisi walifanya msako wa ghafla na kuwakuta vijana hao pamoja na viongozi wao katika nyumba tatu tofauti.

Morcase alibainisha kuwa mafanikio ya kukamatwa kwa vijana hao ni kutokana na taarifa za kiintelijensia, ambazo zilionesha kuwa wanajishughulisha na shughuli zinazovunja sheria na zinazotishia usalama.

Aliongeza kuwa baadhi ya viongozi wa mtandao huo wamekamatwa na watafikishwa kwenye mahojiano na uchunguzi zaidi, na kwamba taratibu za kisheria zitachukuliwa.

Baadhi ya vijana waliokamatwa walieleza kuwa walivutiwa na ahadi ya ajira mtandaoni baada ya kushawishiwa na wenzao.

Baadhi ya mikoa wanayotoka vijana hao ni pamoja na Mikoa Mbeya,Songwe, Ruvuma ,Songea, Tabora,Singida ,Kilimanjaro. Katavi,Mtwara , Dodoma . Kigoma , Mwanza, Manyara. na Arusha

View attachment 3237197
Kazi nzuri sana jeshi la police, for the record tu ni kuwa serikal ya huko imefanya bust iliyofanana na hii, tena kule walishajijenga na mji wao kabisa. Mmoiki akiwa ni mchina
 
Kila wakiambia "limeni" hawasikii
Walivyolelewa mkuu. Mtoto wa kiume, hajuwi kufyeka, hajuwi kupalilia, hajuwa kutunza bustani, hafagii uwanja nyumbani, hajuwi kupika, hajuwi kufua nguo zake, nyoro nyoro tu! Kazi kusikiliza bongo fleva!
Wa kike naye....
Ni uvivu, kupenda utajiri wa haraka bila jasho!
Hiki kizazi ni bomu la baadaye...
 
Walivyolelewa mkuu. Mtoto wa kiume, hajuwi kifyeka, hajuwi kupalilia, hajuwa kutunza bustani, hafagii uwanja nyumbani, hajuwi kupika, hajuwi kufua nguo zake, nyoro nyoro tu! Kazi kusikiliza bongo fleva!
Wa kike naye....
Ni uvivu, kupenda utajiri wa haraka bila jasho!
Hiking kizazi ni bomu la baadaye...
Acha ulimwengu uwahukumu
 
Teknolojia ya habari na mawasiliano, mitandao inazidi kukua lakini watu wanazidi kua wajinga. Hivi vitu vipo mitandaoni ni vya kusoma tu na kuelewa kua huu ni utapeli, vijana wana smartphone ila kazi yao ni kubeti na kufuatilia umbea wa wasanii. Zamani ungewezaje kuwatapeli watu kwa style hiyo?! Kwanza mzazi makini anaruhusu vipi mtoto wake aende kwenye ajira ambayo details zake hazipo clear?! Wazazi na watoto wa kizazi hiki wanafanana akili
 
walime lami.ni lini serikali imetangaza kwa vijana kwamba tunagawa mashamba vijana wamiliki ardhi yao,ukiachana na mazingaombwe ya BBT
Mapori yote yaliyojaa,wazazi wao na ndugu zao wana mashamba mengi tu lakini wao wamekalia ubrazamen na usista duu
 
Ni kweli kuna tatizo sugu la ajira,
lakaini sio kigezo cha kushirikiana na watu kufanya biashara amabayo hata wewe unaona haina matokeo.

Utapeli biashara za hivi tayari zimewahi ripotiwa kutokea, Tanga, Moshi, Shinyanga, Dodoma na sasa Pwani!
Mpaka sasa hakuna kesi zozote zilizowahi fikishwa mahakamani juu ya hawa matapeli
Hivi hakuna intelejensia, sijui usalama wa taifa wa kuzuia na kukomesha kabisa hizi mambo?
au intelejensia inafanya kazi kwa kasi kwa vyama pinzani tu?. au wote tuko bize kusema mama kafanya hivi mama kafanya vile?

Hao vijana wanatapeliwa wao na wazazi wao, kuna wazazi wanauza shamba, mifugo au kukopa mikopo kuwapa vijana wao kwa matarajio ya wapate ajira, waje kuwasaidia.
 
Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa wanajihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa kuwa ni ya kitapeli.

Biashara hii inadaiwa kufanyika kwa usiri mkubwa chini ya kampuni ya QI Group of Company yenye makao makuu nchini Malaysia.

Tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia Februari 15, majira ya saa tatu usiku hadi saa saba, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Salim Morcase, akiwa na maafisa wa polisi walifanya msako wa ghafla na kuwakuta vijana hao pamoja na viongozi wao katika nyumba tatu tofauti.

Morcase alibainisha kuwa mafanikio ya kukamatwa kwa vijana hao ni kutokana na taarifa za kiintelijensia, ambazo zilionesha kuwa wanajishughulisha na shughuli zinazovunja sheria na zinazotishia usalama.

Aliongeza kuwa baadhi ya viongozi wa mtandao huo wamekamatwa na watafikishwa kwenye mahojiano na uchunguzi zaidi, na kwamba taratibu za kisheria zitachukuliwa.

Baadhi ya vijana waliokamatwa walieleza kuwa walivutiwa na ahadi ya ajira mtandaoni baada ya kushawishiwa na wenzao.

Baadhi ya mikoa wanayotoka vijana hao ni pamoja na Mikoa Mbeya,Songwe, Ruvuma ,Songea, Tabora,Singida ,Kilimanjaro. Katavi,Mtwara , Dodoma . Kigoma , Mwanza, Manyara. na Arusha

View attachment 3237197

Trash
 
Bila huba, Wala Upendeleo, ningewasihi vijana waone hizi fursa zinazofunguliwa na serikali Kila uchao, mfano MUST (Udsm Mbeya campus)wametoa nafasi za mafunzo ya ufundi na ujuzi buuure kwa vijana haswa wa mikoa hiyo ya Karibu na yanaenda mpaka miezi sita, Kuna mikopo ya asilimia kumi (ingawa bado Ina ukiritimba na mwingi licha ya Maboresho) hapo nyuma mashirika mengi yalisomesha vijana ufundi Bure na kwa dar Kuna vyuo vya veta rasmi viliingia ubia nahayo mashirika ikiwemo USAID. Kwanini bado watu wanashawishika kufuata upatu kisa ndugu zao? Na kwa gharama kubwa? Mfano huyo dada anasema alianza na kununua bidhaa za 2.5m .

Pia na serikali ione hali ilivyo mbaya kwa vijana Hawa wadogo wanaokosa fursa za ajira endapo kungekuwa na viwanda, vikubwa ( manufacturing industries) vya kati na vidogo.
 
Back
Top Bottom