Vijana 132 wakamatwa Kibaha wakijihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa ni utapeli

Je hiyo biashara ya mtandaoni inayodaiwa ni utapeli inafanyikaje?
Kwa sababu za usalama jinsi biashara hiyo inavyofanyika imebakia kuwa siri hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika. Vinginevyo wajanja wataingia msituni na kuanza kututia hasara.
 
Kuna jamaangu mmoja alikuwa ananisihi kila siku niende huko kibaha ila nikimwambia anipe maelezo kidogo kuhusu hiyo ishu lakini ananiambia nifike ofsini nitapata maelezo yote ila baadae nikasanuliwa na mshkaji mwingine kuwa wanajisshughulidha na biashara ya utapeli mitandaoni nilishangaa sanaa
 
Kifupi unaweza kukuta hawana kesi sasa ndo nini hv
Biashara ya mtandao wanajiuza telegram au wanauza bangi Kwa njia ya mtandao ,,n lini police CCM mtajua kueleza dhumuni la kesii na c siasaa km hvπŸ€”
 
Kuna mtu kafanana na Vishu Mtata namuona hapo kavaa SUTI...

Uvivu wa kulima tuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio mimi aisee, mimi ni afisa kipenyo hapo niliingia kama mole ili niujue mfumo vizuri niwalipue, hao polisi wamekuja baada ya mimi kuwaambia waje sasa nshamaliza kazi.
 
Kwa nini hakuna hata mmoja kutoka mkoa MARA, Je hii ni kwa sababu hawajui kutumia fursa au ni welevu sana wakugundua michezo?
 
wambulu wamekua wahanga wa kutapeliwa kila mwaka na biashara za alinacha ponzi schemes, wamejaa QNET na LBL kama mchwa na siafu. HAWAKOMI
 
Hao ambao tayari wana ujuzi, bado wanahangaika kwa kutekekezea huo ujuzi walionao. Lol

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa ndefu sana lakini haijataja hata kwa kifupi ni Biashara gani.

Kaole sanaa group
Ni kama Desi au zile Q net (jina sijui kama nimepatia vizuri). Unaalika mtu anaweka bond ya fedha ya kitu na yule naye anamwalika mwenzake yaani ni hizi njia za utapeli.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio mimi aisee, mimi ni afisa kipenyo hapo niliingia kama mole ili niujue mfumo vizuri niwalipue, hao polisi wamekuja baada ya mimi kuwaambia waje sasa nshamaliza kazi.
Hovyo kabisa wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…