Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

Wezi wanaelewa Kwa lugha Kali kama hiyo.
Hawaelewi hao mbuzi..leo tena night huenda kuna sehemu watakiwasha chuga hiyohiyo...nilikuwa nina huruma sana na hawa kenge ila walichonifanyia last year nikimdaka hawezi endelea kuvuta hii free oxygen.
 
Kusuka wateja ni heri au kutafuta kaz nyingine kama barabaran hapalipi
Waapi! Hao ni wakorofi tuu. Barabarani panalipa sana ila hawa jamaa wana matumizi ya kijinga mno. e.g. Mtu anakusanya Tz. shs elfu moja kwa kila kichwa, anaweka mafuta ya elfu 5 kwa siku lakini yupo radhi akanunue kijogoo ili achanganye kwenye energy drink, anunue sigara/ugoro au shisha, akaangalie mpira, akacheze kamari , halafu jioni akajirushe huko. Hebu waangalie wale watu wazima(wenye umri) baadhi yao wamejenga walau kibanda. Hao vijana wanakwama wapi?
 
Siyo sababu ya kuiba.

Ni uvivu wa kujituma tu.
Nakubaliana na wewe, wengi ni wavivu na wanapenda kuwa na vitu vizuri matokeo yake wanaanza kujiingiza kwenye udokozi ili wapate pesa za kununua vitu hivyo (wenyewe wanaita kung’aa a.k.a kupiga pamba na kula starehe kila weekend)
 
Bora wangekua mashoga, wangekua wanatumia kinyeo kupata pesa,
Sasa wakajiingiza kwenye wizi, leo wamesepeshwa Duniani.

Mwizi na Shoga bora nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona we si rizki
 
Huku morogoro tunaita vishandu wakikupora simu wako tayari kufa sitasahau walinipora simu tarehe 29-12-2021 nikiwa nyuma kwenye bajaj kama abiria huwa wanatumia boda kupora simu hadi leo hiyo simu sijaipata
SAsa kuna trafiki wale wanaosimama stendi ya dodoma pale, aliporwa simu mchana kweupe.
Mimi pia niliporwa pale sabasaba keepleft ya SUA,pona yangu ni kwamba wakiwa katika harakati za kukimbia wakaidondosha simu yangu waliyonipora hivyo nikawahi kuikota.
 
Nakubaliana na wewe, wengi ni wavivu na wanapenda kuwa na vitu vizuri matokeo yake wanaanza kujiingiza kwenye udokozi ili wapate pesa za kununua vitu hivyo (wenyewe wanaita kung’aa a.k.a kupiga pamba na kula starehe kila weekend)
Wanamchokoza Makonda hao. Makonda ana ndoto Arush liwe jiji la mfano bora. Anataka maduka na jiji la Arusha lisilale, watu watembee saa 24 bila wasiwasi.
 
SAsa kuna trafiki wale wanaosimama stendi ya dodoma pale, aliporwa simu mchana kweupe.
Mimi pia niliporwa pale sabasaba keepleft ya SUA,pona yangu ni kwamba wakiwa katika harakati za kukimbia wakaidondosha simu yangu waliyonipora hivyo nikawahi kuikota.
Hata mimi ya kwanza walinipora nikiwa karibu na Shani ilidondoka nikaiokota
 
Back
Top Bottom