fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Hawaelewi hao mbuzi..leo tena night huenda kuna sehemu watakiwasha chuga hiyohiyo...nilikuwa nina huruma sana na hawa kenge ila walichonifanyia last year nikimdaka hawezi endelea kuvuta hii free oxygen.Wezi wanaelewa Kwa lugha Kali kama hiyo.
Kivipi?Sio rahis kama unavyodhani,unaweza kuwa na boda na bado ukakosa hela ya kula
Waapi! Hao ni wakorofi tuu. Barabarani panalipa sana ila hawa jamaa wana matumizi ya kijinga mno. e.g. Mtu anakusanya Tz. shs elfu moja kwa kila kichwa, anaweka mafuta ya elfu 5 kwa siku lakini yupo radhi akanunue kijogoo ili achanganye kwenye energy drink, anunue sigara/ugoro au shisha, akaangalie mpira, akacheze kamari , halafu jioni akajirushe huko. Hebu waangalie wale watu wazima(wenye umri) baadhi yao wamejenga walau kibanda. Hao vijana wanakwama wapi?Kusuka wateja ni heri au kutafuta kaz nyingine kama barabaran hapalipi
Nakubaliana na wewe, wengi ni wavivu na wanapenda kuwa na vitu vizuri matokeo yake wanaanza kujiingiza kwenye udokozi ili wapate pesa za kununua vitu hivyo (wenyewe wanaita kung’aa a.k.a kupiga pamba na kula starehe kila weekend)Siyo sababu ya kuiba.
Ni uvivu wa kujituma tu.
Naona we si rizkiBora wangekua mashoga, wangekua wanatumia kinyeo kupata pesa,
Sasa wakajiingiza kwenye wizi, leo wamesepeshwa Duniani.
Mwizi na Shoga bora nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SAsa kuna trafiki wale wanaosimama stendi ya dodoma pale, aliporwa simu mchana kweupe.Huku morogoro tunaita vishandu wakikupora simu wako tayari kufa sitasahau walinipora simu tarehe 29-12-2021 nikiwa nyuma kwenye bajaj kama abiria huwa wanatumia boda kupora simu hadi leo hiyo simu sijaipata
Wanamchokoza Makonda hao. Makonda ana ndoto Arush liwe jiji la mfano bora. Anataka maduka na jiji la Arusha lisilale, watu watembee saa 24 bila wasiwasi.Nakubaliana na wewe, wengi ni wavivu na wanapenda kuwa na vitu vizuri matokeo yake wanaanza kujiingiza kwenye udokozi ili wapate pesa za kununua vitu hivyo (wenyewe wanaita kung’aa a.k.a kupiga pamba na kula starehe kila weekend)
Hata mimi ya kwanza walinipora nikiwa karibu na Shani ilidondoka nikaiokotaSAsa kuna trafiki wale wanaosimama stendi ya dodoma pale, aliporwa simu mchana kweupe.
Mimi pia niliporwa pale sabasaba keepleft ya SUA,pona yangu ni kwamba wakiwa katika harakati za kukimbia wakaidondosha simu yangu waliyonipora hivyo nikawahi kuikota.
Tamaa tu MkuuHivi ni matatizo ya akili au nini yaani kitendea kazi unacho badala kukitumia kwaajili ya kufanya shughuli halali ya bodaboda mtu unajiingiza kwenye uwizi
Nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora wewe
Bora yupoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna alie bora hapo.
Ila ridhiki ni hao waliochomwa moto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona we si rizki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anza wee kwani kujibu hapa.Dah, dunia hii ngumu sana, ni vyema ukaweka watu wapigie kura hilo swali lako, tuone uhalisia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jibu swali, povu LA nn hapa? RelaaaaaxxxxMhhhh, una ushawishi mkubwa, mashetani mnakaushawishi, ila hamtaweza
Kuwa nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu kuwa wewe kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena yatavimba haswaaa!!Naona Kaka ako King wa skwati kaja kuwavimbisha makalio