Wewe unaamini kabisa kitu kinafavywa na chawa kitakuwa na mantiki? Kila sehemu ukada ndo unatawala!Waziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow).
Inasemekana wengine wamekimbia na wengine wamepata ajira nyingine serikalini.
Bado serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza , vijana wengi waliokuwa wamechaguliwa kujiunga na huo mradi walikuwa makada wa chama cha mapinduzi CCM na watoto wa Vigogo serikalini.
Chanzo : Azam News
Yawezekana vijana waliotoweka ndiyo ulikuwa mpango wa waziri kupigia gape.Tutaona na kusikia dana dana nyingi sana.
Watanganyika msichokijua au kufahamu Waziri wa Kilimo Hussein hajalima Hata robo eka yake Yeye kama yeye.
Anataka wengine wakalime Yeye Kwanini asionyeshe Mfano.
Azam tv hawezi kuandika hiki. Kama ni wewe ungetalia kuweka tahadhari ya kuwa unaongeza maoni Yako.Bado serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza , vijana wengi waliokuwa wamechaguliwa kujiunga na huo mradi walikuwa makada wa chama cha mapinduzi CCM na watoto wa Vigogo serikalini
Acha ubishi kaka uwe unafatilia taarifa za Habari, usibishe vitu ambavyo hujaona, Mtu hawezi from no where aropoke tu. Kwa muda wako fatilia Utv Leo taarifa hiyo.Azam tv hawezi kuandika hiki. Kama ni wewe ungetalia kuweka tahadhari ya kuwa unaongeza maoni Yako.
Ifike mahali suala la maendeleo ya nchi lisiwe la kisiasa zaidi.Waziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow).
Inasemekana wengine wamekimbia na wengine wamepata ajira nyingine serikalini.
Bado serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza , vijana wengi waliokuwa wamechaguliwa kujiunga na huo mradi walikuwa makada wa chama cha mapinduzi CCM na watoto wa Vigogo serikalini.
Chanzo: Azam News
Tutaona na kusikia dana dana nyingi sana.
Watanganyika msichokijua au kufahamu Waziri wa Kilimo Hussein hajalima Hata robo eka yake Yeye kama yeye.
Anataka wengine wakalime Yeye Kwanini asionyeshe Mfano
Nlikutana na baadhi yaoBBT = Kilimo cha kwenye Tablet. The White Elephant Project
Bashe mwenyewe hata kulima hajawahi [emoji1]Na Waziri wa mambo ya ndani ajiunge kwenye doria za polisi kutoa mfano,Waziri wa ulinzi avae gwanda aende mpakani,wa miundombinu atindue vifusi barabarani na kuendesha malori..we ni mbuzi
Walimaji wa ukweli wameachwaMwisho wa siku pesa itatafunwa bila matokeo kuonekana, wazee wa big results now. Hizo pesa bora watoe ruzuku kwenye pembejeo za kilimo ili wakulima original waongeze uzalishaji, siyo hao wakulima wa mwendokasi......
Wametoka huko na mapoda Yao wakajua Serikali inagawa pesa au inatoa ni Ajira 🤪🤪🤪Waziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow).