Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna poteza mda hizi zime kaa kisiasa sana .kama hawa walio enda wame rudishwa nyumbani hili waende JKt kwanza .siasa ni mchezo mchafua sana uliojaa hopes za uongo
Na wata kacha wengi zaidi
Siasa tu mkuu wanapelekwa JKT mwezi mmoja, hayo mashamba sidhani hata kama yapo kweli.Mkuu wamepelekwa jkt kufanyaje tena?
Hayo mambo tulishayaongea humu ndani, huwezi somba uvccm kutoka mijini uwapeleke vijijini wakalime na bado kuna mengi mabovu yanakuja kwenye huo mradi.Waziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow).
Inasemekana wengine wamekimbia na wengine wamepata ajira nyingine serikalini.
Bado serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza , vijana wengi waliokuwa wamechaguliwa kujiunga na huo mradi walikuwa makada wa chama cha mapinduzi CCM na watoto wa Vigogo serikalini.
Chanzo: Azam News
Inasikitisha sanaMnapoteza muda hizi zimekaa kisiasa sana. Kama hawa walioenda wamerudishwa nyumbani hili waende JKT kwanza, siasa ni mchezo mchafu sana uliojaa hopes za uongo.
Na watakacha wengi zaidi.
Unawachukua Uvccm waliofunzwa kuiba Leo uwapeleke shambani unategemea nini? Wazir Bashe hajitambuiWaziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow).
Inasemekana wengine wamekimbia na wengine wamepata ajira nyingine serikalini.
Bado Serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza , vijana wengi waliokuwa wamechaguliwa kujiunga na huo mradi walikuwa makada wa chama cha mapinduzi CCM na watoto wa Vigogo Serikalini.
Chanzo: Azam News
bashe kwenye ubora wakeMnapoteza muda hizi zimekaa kisiasa sana. Kama hawa walioenda wamerudishwa nyumbani hili waende JKT kwanza, siasa ni mchezo mchafu sana uliojaa hopes za uongo.
Na watakacha wengi zaidi.
Hakuna mtoto wa kigogo wa kuingia kwenye huo upuuzi labda watoto wa machawa na michepuko yaoWaziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow).
Inasemekana wengine wamekimbia na wengine wamepata ajira nyingine serikalini.
Bado Serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza , vijana wengi waliokuwa wamechaguliwa kujiunga na huo mradi walikuwa makada wa chama cha mapinduzi CCM na watoto wa Vigogo Serikalini.
Chanzo: Azam News